Wanafunzi vyuo wakosa mikopo, Serikali haina fedha

Wanafunzi vyuo wakosa mikopo, Serikali haina fedha

Mimi ni mhanga na tayari nilisharipoti Mkwawa university Iringa, kwa kweli serikali isipolishughulikia swala hili, tutaumia sana na kukata tamaa na masomo ya elimu ya juu
 
Poleni sana Mimi niliingia chuo academic yr 2009/2010 mwaka ambao baba riz alikua anatengeneza mazingira kwa ajili ya election 2010 ma boom yalikua yanagongana kwenye akaunti na chuo nilikua nalipa direct cost tu Kama 54000 for 4yrs ,50000 ya afya na 4000 ya daruso😋😋😋😋😋
I miss those moments Poleni madogo
HAPA KAZI Tu hakuna namna!!
 
Mtaisoma namba kweli mwaka huu!
Bora siye wa collage tunaojilipia 100% bila kutegemea serikali.

Mbele kwa mbeleeee!!!!!
 
hahahaha madogo wachuoooo mshaanza kuisoma mamba ee? safii siku nyingine mjifunze hizo kura mnazotoa zitawapa future gani
 
Jamani kuweni wapole, mliletewa maembe nyie mkapenda malimao sasa kelele za nini? Baba zenu na mama zenu si ndo walikuwa wanashiriki kuimba zile nyimbo za "waacheni waandamane ehhhhheeeee ccm mbele kwa mbele?" Sasa mayowe ya nini? Kwanza serikali ya ccm haina sera ya elimu bure kwa chuo kikuu, hivyo kuweni wapole mpaka mwakani serikali itakapopata fedha. Kwa sasa hivi fedha nyingi imeenda kwenye kampeni za Magufuli, hivi mnafikri yale mat-shirt mliyokuwa mnavaa yamepatikana bure? In short hazina haina hela, hivyo anayeweza kuendelea kusubiri avute subira na asiyeweza kusubiri ahamie Rwanda.
 
HESLB inabidi wawajibike, inaoneka hawako makini !!.
Sasa mnataka HESLB hiyo hela wainye? Msiwaonee bwana, tena kuna mimwanafunzi mingine ya chuo kikuu inashabikia sana ccm wacha yaisome namba!! Naiomba serikali fedha kidogo iliyobakia Hazina ielekezwe kwenye afya, huku wazazi wataweza tu kuwasomesha watoto wao!! HAPA KAZI TU!!
 
Ndo muisome namba hivyo.
Na mkigoma washawasha zipo tayari na stock za kutosha.
HK2
 
Nafikiri njia rahisi ya demokrasia ya kweli ni kura ya wazi kwani haina utata wala matokeo hayachelewi kwani mtu wa mwisho anapohesabiwa tu na matokeo tayari na hakuna cha kulinda kura wala nini - sehemu ya kupangia mistari ni barabara za mitaa na kubwa.

mi nadhani kura iwe siri ila zihesabiwe wazi watu tukiona wote kwa makini ili kuepusha uhasama labda hujampgia mtu wa karibu
 
Taratibu taratibu tu, mwisho wa siku wote tutaisoma namba, na wote tutaongea lugha moja.
CCM ni ile ile, mbele kwa mbele.

Fanya kazi, upate pesa, ukalipe Ada. Na kama huna kazi ujue imekula kwako.
Hapa hakuna kazi tu!
 
Mimi ni mhanga na tayari nilisharipoti Mkwawa university Iringa, kwa kweli serikali isipolishughulikia swala hili, tutaumia sana na kukata tamaa na masomo ya elimu ya juu
Wala usipoteze muda kudhani serikali ya CCM ina mpango kabambe wa kushughulikia hii kitu. Magufuli na CCM kwenye kampeni zao walisema wazi kabisa Elimu ya bure mwisho ni Form Four, suala la Elimu ya Chuo kikuu sio agenda yao ya msingi na wala sio kipaumbele chao cha kwanza.
Hakuna kulalamika tena, Serikali iko very right.
Wacha tuendelee kuisoma namba mpaka 2020.
Katika hili, hakuna huruma kabisa.
 
Ushauri wa bure kabisa kwa wanachuo wote waliokosa mkopo, ni bora wakajipanga sasa na kuanza kupachimbisha kwa migomo, maandamano na kupiga kelele mwanzo mwisho.
Hii kitu huwa inasaidia sana, kichapo watakipata lakini matunda huenda yakapatikana.
 
Jamani kuweni wapole, mliletewa maembe nyie mkapenda malimao sasa kelele za nini? Baba zenu na mama zenu si ndo walikuwa wanashiriki kuimba zile nyimbo za "waacheni waandamane ehhhhheeeee ccm mbele kwa mbele?" Sasa mayowe ya nini? Kwanza serikali ya ccm haina sera ya elimu bure kwa chuo kikuu, hivyo kuweni wapole mpaka mwakani serikali itakapopata fedha. Kwa sasa hivi fedha nyingi imeenda kwenye kampeni za Magufuli, hivi mnafikri yale mat-shirt mliyokuwa mnavaa yamepatikana bure? In short hazina haina hela, hivyo anayeweza kuendelea kusubiri avute subira na asiyeweza kusubiri ahamie Rwanda.

Hela zooteee zimeishia kuwalipa hawa vilaza...Mungu huyu jamani afanye jambo..watu wanakufa hospital. ..watu wanakosa mkopo..wanashindwa soma daaah so sad..
 
Attachments

  • 1446748293499.jpg
    1446748293499.jpg
    37.3 KB · Views: 105
Back
Top Bottom