manya kitula
Senior Member
- Apr 1, 2015
- 178
- 45
Ni lini tutaachaa kujidanganya? Yaani hivi kweli mlifikiri zile kofia, tisheti, na kanga mlikuwa mnagawiwa ni za bure? Hiyo siku tutaamka kama Wazanzibari basi na akili zetu zitafanya kazi. Hawa vijana wataishia kula madawa ya kulevya ambayo nayo yanaletwa na haohao mnaowapigia makofi majukwaani. Mwenye kusoma namba hapa ni nani kama sio sisi watanzania?