Wanafunzi vyuo wakosa mikopo, Serikali haina fedha

Wanafunzi vyuo wakosa mikopo, Serikali haina fedha

Hahahaaaaaa!watanzania wanafaa kuingia katika rekodi za dunia!Hapa kazi tu!,elimu mwisho form4,huko chuo kikuu ni kiherehere chenu.
 
Nadhani serikali ikijipanga vizuri watapewa mikopo. Kwa sasa hela nyingi imetumika kwenye kampeni but ni jambo la kujiuliza "je hapakuwa na bajeti ya mikopo?" Na .
Kwanini pesa za serikali zitumike kwenye kampeni ya chama cha siasa..? Huu ni uhuni na ufisadi.
 
Mtaisoma namba. Hapa kazi tu, na kazi ndo hiyo hadi akili iwakae vizuri watanzania.
 
Cha kusikitisha ni kwamba Kati ya waliokosa mikopo, wengi ambao angalau wataweza kulipia semester moja ili waende KUSOMA CHUO huku wakingoja Lots zingine za HESLB (kama zitakuwepo) Ni watoto wa hapa hapa mjini ambao wengi wazazi wao walichagua upande wa mabadiliko na wengi ambao watarudi kijijini KUISOMA NAMBA wazazi wao walikuwa wnatupigia kelele wakiwa ndani ya Green and Yellow zao. Sasa ndo mrudi nyumbani ili wazee wenu wakaelewe dhana ya mabadiliko vizuri. Sasa wengi tayari wanapiga simu town kuomba msaada.
 
Nadhani serikali ikijipanga vizuri watapewa mikopo. Kwa sasa hela nyingi imetumika kwenye kampeni but ni jambo la kujiuliza "je hapakuwa na bajeti ya mikopo?" Na kama ilikuwepo kwa nini wasipewe kwa muda muafaka?
Serikali kupitia wizara ya Elimu ilijua mapema kuwa ni wanafunzi wangapi watadahiliwa mwaka huu. So kitendo cha kusema"subiri" ni mojawapo ya utendaji mbaya ambapo JPM anapaswa aanze nao hao hao.

Hela.imetumika.kwenye kampeni kivipi? Kwani kampeni imetumia hela ya serikali au kila chama kimejitegemea?
 
Hii inashangaza sana, ina maana serikali kupitia bodi ya mikopo hawakuwa na takwimu za wanafunzi wangapi watadahiliwa mwaka huu?
Elimu ndiyo njia ya kuwatoa adui ujinga, maradhi na umaskini. Kama hatuthamini elimu ya vijana wetu tunategemea wapambane vipi kwenye soko la dunia?
Anyway kulikuwa na option ya kuchagua elimu bure mpaka chuo kila mtu akachagua alichoona kinafaa. Ngoja tuisome namba. Hapa kazi tu elimu wapelekee nyumbu!
 
Ccm si mumeipenda wenyewe,msinywe sumu msijinyongee hii ni mbele kwa mbele
 
Sauti ya John komba inanijia kichwani ikiimba ccm ni ile ileee
 
walifikiri atakayeisoma namba ni lowassa, wakati hapo kakaa tu kila mwezi analipwa 80% ya mshahara alokuwa akilipwa akiwa waziri, matibabu bure tena nchi yoyote na mengine kibao
 
Watanzani mmekaa kulalamika.mlichagua ccm mkakataa elimu bure.lipeni ada mnataka nani awalipie? Hapa kazi tu.
 
Lazima watu muwe na busara wanachuo wengi hawakupiga kura na hii ilikuwa purposely wote mnajua ambacho ccm ingevuna kama vyuo vingekuwa havijafungwa. Msione simple ku comment kwakuwa mpo nyuma ya keyboard miongoni mwenu kipindi mnasoma mlipata mkopo wa serikali na hadi leo mnakatwa kwenye mishahara yenu mnavyo comment hebu vaeni viatu ungekuwa ndio wewe hapo.
Hapo umechagua ukawa,Nyumba yenu ni wapinzani,CCM inashinda tena kihujuma hujuma. Na Hatma ya Elimu yako ambayo ndo inaweza kuwa mkombozi hata li CCM likiendelea kutawala kama una Elimu yako hata nje ya nchi unaenda kutafuta maisha Kufanya mageuzi ya siasa kama mwanafunzi alikuwa mwana ukawa ndo ilikuwa tamaa yake sasa wakati anaugulia maumivu ya uchaguzi na mkopo ana kosa. sitashangaa kusikia wanafunzi wakijiua this time, ni wenye mioyo migumu tu wataweza kuikabili hii hali

khaaaaaa wewe unaelewa kwel??? ambao wanaongelewa hapa ni wale waliomaliza form six mwka huu....

hawa walipiga kura mzeee....inabd ukumbuke mikopo mipya haiwahusu wale waliokuepo chuo tayr....

inshort hapa tunaongelea 1st yr
 
Yani unamshirikisha Mungu kwenye uzembe wa watu?

sisi ngozi nyeusi ni mabingwa wa kumwachia Mungu hata vitu vilivyo ndan ya uwezo wetu.......

ni aibu sana na hapo ndo napoikubali ile kauli ya Donald nan sijui yule mgombea urais wa US
 
Huyo alotoka tabora na wenzie awalaumu wazazi wake kwanza kwa kukubali kupewa tshirt na kanga bure ..pili kuichagua ccm....hao wazaZi huko kijijin watakula jeuri yao....hela za mkopo ndio wamepewa km khanga na tshirt
 
Back
Top Bottom