balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,707
- 15,447
waacheni wakosee shule eeee,ccm mbele kwa mbele.Wameyataka wenyeweee do,do,doo,shauri yao wenyewe mmmmm.HAPA KAZI TU.
Aanze nao wakati pesa ilitumika kwa ajili yake kupata urais?Nadhani serikali ikijipanga vizuri watapewa mikopo. Kwa sasa hela nyingi imetumika kwenye kampeni but ni jambo la kujiuliza "je hapakuwa na bajeti ya mikopo?" Na kama ilikuwepo kwa nini wasipewe kwa muda muafaka?
Serikali kupitia wizara ya Elimu ilijua mapema kuwa ni wanafunzi wangapi watadahiliwa mwaka huu. So kitendo cha kusema"subiri" ni mojawapo ya utendaji mbaya ambapo JPM anapaswa aanze nao hao hao.
HA HA HAAAAA kwani wameenda kusoma ama kujikimu!? HAPA KAZI TU,na ole wao wagome yale magari yanawahusu.JAMANI NATANIA TU MSIJE KUNITOA MACHO.inauma sana kukosa mkopo maisha ya chuo bila mkopo aseee ni shida sana maana kwa kuanza sharti nuwe na walau milioni 2.5 ama milioni 3,ila poa hela zote zilienda kwenye kampeni so wadogo zangu mlie tu!!!!!!!HAPA KAZI TU. Wafanye kazi wapate hela ya kujikimu na kulipa ada. Wapewe vibarua. Hapa kazi tu
hahaha,nyie mnaoshabikia hapa kazi tu sio ishu jamani
Bodi selema....wanachuo selema....
rudini majumbani mkasaidie wazazi kazi maana hakuna namna hapa kazi tu
HAPA KAZI TU. Wafanye kazi wapate hela ya kujikimu na kulipa ada. Wapewe vibarua. Hapa kazi tu
Ndio tuisome namba wote!
Hahahaha kazi tuu hd 2020 maana n ajab watu wakatae elimu ya bure na kuliliaa mikopo
hahaha,nyie mnaoshabikia hapa kazi tu sio ishu jamani
Mungu awatie nguvu.