Wanafunzi vyuo wakosa mikopo, Serikali haina fedha

Wanafunzi vyuo wakosa mikopo, Serikali haina fedha

Tuliwaambia ccm ina mifumo mibovu ya watu wasiojali matatizo y watz,nyie mkaambiwa usichague chama chagua mtu,then mkampa kura JP alie kweny mfumo mbovu....Nafkir mtakifunza kitu kwamb ccm haiaminiki....
kama tutaitumia report ya Twaweza kama reference ya utafiti mdogo. ule utafiti ulionyesha magufuli ataungwa mkono na watu wenye elimu za darasa la saba, Lowassa angechaguliwa na wenye elimu ya form 4. labda tujitie upofu watu wenye elimu ya kuanzia form 4 nakuendelea nchi hii hawafiki hata million 5. simply Magufuri amechaguliwa na watu ambao hawajasoma ambao hawajui lolote nilisema kama bariadi chenge hapigi kampeni anapika wali maharage na anashinda basi ujue watanzania wanasafari ndefu
 
Ccm ni ile ile ooh ni ile isomeni namba vzuri hela zote waliongea wasanii
 
Hapa kaZi mmeambiwa!Waache tuisombeee namba tu
 
Tumejipanga, Mwaka huu wataisoma namba.

MBELE KWA MBELEEEE........
Na baado! Duh lakini inaumaaaaa!!!!!
 
kama tutaitumia report ya Twaweza kama reference ya utafiti mdogo. ule utafiti ulionyesha magufuli ataungwa mkono na watu wenye elimu za darasa la saba, Lowassa angechaguliwa na wenye elimu ya form 4. labda tujitie upofu watu wenye elimu ya kuanzia form 4 nakuendelea nchi hii hawafiki hata million 5. simply Magufuri amechaguliwa na watu ambao hawajasoma ambao hawajui lolote nilisema kama bariadi chenge hapigi kampeni anapika wali maharage na anashinda basi ujue watanzania wanasafari ndefu
Hahaha haahahahaha Hahaha mkuuu umeuaaa
 
Ndio sis tuling'ang'ania sisiem iondoke wasome bure lkn wao wakasema hapa kazi tu ndo sisiem mbele kwa mbele....
 
Mbona migomo itaanza tena ccm kunanini
 
huu ni utangulizi tu Filamu yenyewe bado

Wakati wa kampeni watu walijisahau mno kisa kubebwa kwenye mafuso kupata madera kupewa buku tano tano nakusahau mambo ya muhimu. Sasa acha waisome namba ccm ni ile ile mtoto wa maskini kwenda chuo kikuu itakua ndoto.
 
Waambie wanasiasa wanasema "kuna maisha baada ya uchaguzi" na kwa wanafunzi wanasema "kuna shule baada ya kukosa mkopo"
 
ENL alisema elimi bure hadi chuo kikuu! JPM akasema hadi elimu bure hadi form 4. Watanzania wakafanya maamuzi! Maamuzi ndo hayo mkubaliane nayo!

hi nchii imejaa maajabu watu wamekataa elmu bure leo hii wanalalamika hawana mkopo! Tunahtaji matibabu maalumu
 
Mbaya zaidi hawa watoto wazazi wao huwambii kitu kuhusu ccm! Wapigwe tu maana wamekataa ya bure!
 
hi nchii imejaa maajabu watu wamekataa elmu bure leo hii wanalalamika hawana mkopo! Tunahtaji matibabu maalumu
Acha nijidunge tu wao waliyowachagua ndy wataisoma #
 
Attachments

  • 20151104_111415.jpg
    20151104_111415.jpg
    341.3 KB · Views: 311
Nimem-miss Lowassa ghafla, popote alipo heshima kwake.

Wacha tuisome namba, kama ni picha ndio kwanza "TRELA" maana hata kuapishwa bado.
 
Back
Top Bottom