Wanafunzi vyuo wakosa mikopo, Serikali haina fedha

Wanafunzi vyuo wakosa mikopo, Serikali haina fedha

hapa kazi tu na bado namba tutaisoma vizuri vijana kwa wazee kwa ccm niijuavyo hamna muujiza wa kuwawezesha kusoma mwaka huu
 
Na gesi imeuzwa kwa wakina shingshwa hadi miaka 7 ngoja tuisome namba wakati ccm unasonga mbele..
..........
 
Gharama za kumwapisha Magufuli zingelitosha kuwalipia wanavyuo woote waliokosa mikopo.
 
Lazima watu muwe na busara wanachuo wengi hawakupiga kura na hii ilikuwa purposely wote mnajua ambacho ccm ingevuna kama vyuo vingekuwa havijafungwa. Msione simple ku comment kwakuwa mpo nyuma ya keyboard miongoni mwenu kipindi mnasoma mlipata mkopo wa serikali na hadi leo mnakatwa kwenye mishahara yenu mnavyo comment hebu vaeni viatu ungekuwa ndio wewe hapo.
Hapo umechagua ukawa,Nyumba yenu ni wapinzani,CCM inashinda tena kihujuma hujuma. Na Hatma ya Elimu yako ambayo ndo inaweza kuwa mkombozi hata li CCM likiendelea kutawala kama una Elimu yako hata nje ya nchi unaenda kutafuta maisha Kufanya mageuzi ya siasa kama mwanafunzi alikuwa mwana ukawa ndo ilikuwa tamaa yake sasa wakati anaugulia maumivu ya uchaguzi na mkopo ana kosa. sitashangaa kusikia wanafunzi wakijiua this time, ni wenye mioyo migumu tu wataweza kuikabili hii hali
 
kidumu chama cha mapinduzi, hapa kazi tu. majungu peleka UKAWA, babu,bibi ,mama na baba ccm acha chuo rudi home ukaisome namba. munalalamika nn wkt mumeambiwa Fanya kazi upate pesa za kumpeleka mwanao chuon
 
kidumu chama cha mapinduzi, hapa kazi tu. majungu peleka UKAWA, babu,bibi ,mama na baba ccm acha chuo rudi home ukaisome namba. munalalamika nn wkt mumeambiwa Fanya kazi upate pesa za kumpeleka mwanao chuon
Hahahahahaha
 
Tuliwaambia ccm ina mifumo mibovu ya watu wasiojali matatizo y watz,nyie mkaambiwa usichague chama chagua mtu,then mkampa kura JP alie kweny mfumo mbovu....Nafkir mtakifunza kitu kwamb ccm haiaminiki....
 
Hapa kazi tu! Mtaisoma namba. Elimu elimu elimu
 
Back
Top Bottom