Wanafunzi kadhaa wa mwaka wa tano udaktari (medicine) Muhimbili University wamekuwa discontinued

MUST

Senior Member
Mar 11, 2012
103
54
Wakuu, kuna wanafunzi 10 waliomaliza mwaka wa 5 fani ya medicine (udaktari), wamekuwa discontinued kutokana na tangazo la dean school of Medicine Prof. Karim Manji, source ya kudiscontinue ni kutokusubmit elective report (hii ni research inayofanywa mwaka wa nne). Wanafunzi hao ambao wamemaliza ratiba zao za masomo na ilibidi wa graduate mwaka huu.

MY TAKE: 1: Activist, toeni solution ya jambo hili, inawezekana vipi mtu aliyesoma miaka mitano aje adisco kirahisi kiasi hichi
2: Prof karim manji, ni mtu hatari sana Muhimbili, ameshinikiza maamuzi haya, naomba journalist wafanye utafiti wa jambo hili
3: Wana JF naombeni tutoe way foward juu ya jambo hili, hasa ni kwa jisni gani linaweza kuwa solved,
4: watu wa Usalama wa taifa fanyeni uchunguzi juu ya jambo hili, hii ni hatari kwa haki wa watanzania wanafunzi walioamua kusoma fani hii ya udaktari kwa miaka mitano then wanadisco kirahisi hivi
 
Uchunguzi wa nini wakati wanafunzi wenzao wako busy na mambo ya shule wao wamekalia siasa. Kila mwanafunzi wa chuo akilala akiamka CHADEMA au kelele za Ulimboka na Mabwepande hivi CHADEMA ndio ilikupeleka chuo????? MIMBA NI MIMBA HAKUNA MIMBA NUSU na ku fail ni ku fail . ni sawa na goli ni goli mradi refa amelikubali no matter limefungwa dakika ya ngapi .kutofuata instruction ni tayari ume fail. Kama hawaja submit hizo report ulitaka nani awafanyie hizo kazi au ulidhani ukifika mwaka wa tano ndio huwezi ku fail basi kungekuwa hakuna mitihani .NYAMBAFU WEWE . na nawashauri wanafunzi wote wa vyuo acheni siasa someni .hasahasa nyie madaktari .kama mnaona udaktari mgumu hamuuwezi au haulipi basi acheni na kasomeni political science ili muwe wanasiasa au wabunge . na mtafail sana KUDADADEKI zenu . INGIENI MTAANI SASA MUONE PALIVYO PARAHISI
 
1.Majina yako tisa na sio kumi kama ulivyoeleza.
2.Huwezi kuomba ushauri jukwaani ukiwa umeegemea
upande mmoja(wa wanafunzi), ushauri utatolewa pale
watu wanapojua kiini cha jambo na si kwa ushabiki.

USHAURI: Si busara kuandika namba za wanafunzi and
worse enough their names, i dont think they did
consent to that(the afore mentioned students).
so labda uanzishe thread nyingine iliyokaa
vizuri bila majina and yenye kuelezea what
happened, what was done, what led to the
decision, but lakini it doesnt bring any sense
saying "waliomaliza" halafu wamekuwa
discontinued!! halafu huna uhakika hata wa
idadi yao!!!
 
Ivuga nakuheshimu, lakini kwa hapa umeongea kama Punda!! Angalia tena na acha upumbavu wa kufikiria kiudini zaidi!

Wewe unajiona kuwa unaweza sana kutukana? Rais wako hujaona anavyopandikiza udini? vile vipeperushi hujaviona??
Ok funika kombe mwizi apite .. Usizoee kutukana tukana tumia hoja kupinga hoja
 
Ww mtoa mada lazma utakuwa ni mmoja wa wahanga, huyo semeni nyerere huwa anashinda kule tanuru la fikra fesibuku nitamshauri kule cha kufanya then atawaambia nanyi.
 
Wewe unajiona kuwa unaweza sana kutukana? Rais wako hujaona anavyopandikiza udini? vile vipeperushi hujaviona??
Ok funika kombe mwizi apite .. Usizoee kutukana tukana tumia hoja kupinga hoja
Hesabu hiyo list halafu angalia ulichoandika Ivuga ndugu yangu, sikutegemea hilo kutoka kwako! Ndo mana nikasema nakuheshimu!
 
Hesabu hiyo list halafu angalia ulichoandika Ivuga ndugu yangu, sikutegemea hilo kutoka kwako! Ndo mana nikasema nakuheshimu!

Nimehesabu sana na wewe ulikurupuka kuja kunitukana bila kuelewa mantiki yangu... Mimi nlikuwa nawasaidia wale wadini.. Hivi ile skendo ya baraza la mitihani mliimalizaje? na ile ya kule ndanda
 
Si vizuri kuweka majina yao hapa. Hata hivyo naelewa concern yako katika hili. Mambo haya yapo kila mahali, na hawa wanaochukua maamuzi kama haya bila kufikiria mara mbili hawafai kuwapo katika uongozi wa taasisi yoyote ile ile.

Kuna dogo mmoja kasoma Ualimu miaka 2 akafaulu vizuri masomo yote kwa kiwango cha kati ya B na A. Lakini akashindwa somo moja tu la Ualimu wakamtosa bila kumpa nafasi nyingine. Hii inahitaji watu kukaa chini na kuchukua uamuzi makini, watu wapewe second chance kwani miaka mitano ni mingi sana.

Hata wanafunzi mnaoshinda humu muwe makini kuangalia jinsi ya kusoma kwani kama somo fulani ni muhimu ni vizuri ukaliwekea mkazo kuliko masomo mengine.
 
Na wao hao wanafunzi kwa nini hawaku-submit hiyo report? Sheria ya chuo inasemaje kuhusu hili?
 
Waende mahakamani waweke ile hati ya dharula kesi yao itasikilizwa haraka!pia kama chuo kina sehemu ya rufaa wakate haraka!wakisamehewa watarudia mwaka kama muda umeenda!!
 
1.Majina yako tisa na sio kumi kama ulivyoeleza.
2.Huwezi kuomba ushauri jukwaani ukiwa umeegemea
upande mmoja(wa wanafunzi), ushauri utatolewa pale
watu wanapojua kiini cha jambo na si kwa ushabiki.

USHAURI: Si busara kuandika namba za wanafunzi and
worse enough their names, i dont think they did
consent to that(the afore mentioned students).
so labda uanzishe thread nyingine iliyokaa
vizuri bila majina and yenye kuelezea what
happened, what was done, what led to the
decision, but lakini it doesnt bring any sense
saying "waliomaliza" halafu wamekuwa
discontinued!! halafu huna uhakika hata wa
idadi yao!!![/QUOTE

Hongera hippo kwa kutoa darasa, mwanzisha thread kakurupuka, halafu inakiuka maadili. Ninachojua registration number, na hata matokeo ya mtu ni siri. Halafu naamini kila mtu anajua wapi hakutimiza course work yake. Ninavyojua elective ina marks zake, kutokufanya/kusubmit ni kosa. Pia naamini pia kuna njia mbadala ya kumaliza tatizo hili kwa kufuata chanel za uongozi wa chuo wa MUHAS, labda atuambie waziri wao wa Elimu yupo very weak, ameshindwa kujenga hoja na ya kuomba/ kushinikiza uongozi wa chuo kufanya mapitio ya hili.
 
uchunguzi wa nini wakati wanafunzi wenzao wako busy na mambo ya shule wao wamekalia siasa . kila mwanafunzi wa chuo akilala akiamka chadema au kelele za ulimboka na mabwepande hivi chadema ndio ilikupeleka chuo????? MIMBA NI MIMBA HAKUNA MIMBA NUSU na ku fail ni ku fail . ni sawa na goli ni goli mradi refa amelikubali no matter limefungwa dakika ya ngapi .kutofuata instruction ni tayari ume fail . kama hawaja submit hizo report ulitaka nani awafanyie hizo kazi .au ulidhani ukifika mwaka wa tano ndio huwezi ku fail basi kungekuwa hakuna mitihani .NYAMBAFU WEWE . na nawashauri wanafunzi wote wa vyuo acheni siasa someni .hasahasa nyie madaktari .kama mnaona udaktari mgumu hamuuwezi au haulipi basi acheni na kasomeni political science ili muwe wanasiasa au wabunge . na mtafail sana KUDADADEKI zenu . INGIENI MTAANI SASA MUONE PALIVYO PARAHISI

You are hopeless!
 
Uchungunzi wa nini? Katika "Academic world" mwanafunzi laima asubmit kazi zote alizopewa ili agraduate. Kuna assignment, test, research report nk. Asipofanya hata moja anakuwa penalised na inapelekea hadi kuwa discontinued. Hapa cha kuangalia ni taratibu za chuo zinasemaje sio kutegemea wanaharakati au wanasiasa katika masuala ya elimu.
 
Ww mtoa mada lazma utakuwa ni mmoja wa wahanga, huyo semeni nyerere huwa anashinda kule tanuru la fikra fesibuku nitamshauri kule cha kufanya then atawaambia nanyi.

huyu semeni huwa namuona akishinda sports extra .. mnazi wa Chelsea muda wote yupo Facebook...

na pia kwanini hawajakusanya hizo electives report!.. huwezi uka graduate bila hiyo report even though hata kama umefanya...

mtoa mada ameelemea upande mmoja .. nadhani..

pia nadhani adhabu hii ni kali kidogo kuwa discontinued 5th year.. waandike barua za kuomba msamaha tu badala ya kuja hadharani na kutafuta plublic sympathy..
 
Back
Top Bottom