Chacha Neema
Member
- Oct 12, 2012
- 6
- 12
Kama kishatapeli wanafunzi na mnamjuwa kwanini msimshitaki polisi, au mnajihami?
huyu jamaa alifikiri ni mchezo mzuri kutapeli wanafunzieehh, ama kweli hapo ameloba step. namhurumia maana
wanafunzi watamtoa kishipa... yani afadhali angefanya utapeli sehemu nyingne lakini sio wanafunzi.....tutamkamata tu... dada Neema hebu tupe info zake zaidi ili tumtambulishe sisi wanafunzi ni wa kina nani........
https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=67969&d=1350076386Kama kishatapeli wanafunzi na mnamjuwa kwanini msimshitaki polisi, au mnajihami?
ngoja tumtafutie mtego.
https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=67969&d=1350076386
dawa ya tapeli ni kujulikana na watu wote, sambaza picha hii kokote na atahama nchi huyu jamaa.