Wanafunzi hawa waliopata zero wanaenda wap?

Mdogo wangu KIDUME20 hebu ongea na huyo jamaa hapo πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… anajiita Bob sambeke

Anaonekana design kama Psycho kidogo πŸ€”

Maana tunaongea mambo kwenye level tofauti ya fikra, uelewa na uchambuzi wa mambo yeye anakimbilia kukurupuka na kutukana watu asiowajua πŸ˜…... ndomana nilimuuliza amekula?! Wengine wanakuja kutukana watu huku wanatumia WI-FI za hoteli au Hotspot za washkaji alafu wanakuja kutuvimbia humu 😊
 
Na wasomi wenyewe uko sua na udsm wanafundishwa na kina lipumba[emoji38]
 
Where is tusi there unatafuta huruma😁 Pole Sana wewe ndo ulipata div ngap vile

Je unatakiwa uwe na div ngap ili usifunguliwe hotspot

Huna unachojua wewe

Wewe wenyewe Ni hohehahe Yani jua ndo linazama hivo
 
We acha na childish men mkuu

Thinking capacity kama ya dogo wa la 5 unategemea nn sasa

Mwache aropoke tu maisha yatamfunza sio kila aliyeikimbia elimu ametoboa mi nina ndugu wanalia na kusaga meno kisa walipelekwa shule wakagoma

Heri nusu shari kuliko shari nzima
 
Hao ndugu zako ndo taifa zima ,, ovyo kabisa
 
Bro basi amini unachoamini mi sikulazimishi maisha ni kuchagua hunijui sikujui chagua fungu lako πŸ˜’
Usimjibu huyo. Ana Frustration ya maisha. Ndo wale wenye kumiliki ID zaidi ya moja... zingine za kuombea watu pesa kwenye PM wakijifanya wanawake tena wenye shida sana! Huyu jamaa nimemsoma kidogo namuona atakuwa CHIZI kidogo si bure πŸ™‚
 
Sasa mnalazimisha Nini😁 aliepata zero muache hujachangia ada unawashwa Nini em kitulize wewe chagua njia yako acha kutuaminisha ujinga
Bro basi amini unachoamini mi sikulazimishi maisha ni kuchagua hunijui sikujui chagua fungu lako πŸ˜’
 
Hizo kazi za kufanya nao hao ambao hawajasoma labda Ni bodaboda(sijadharau maana najua Kuna Bodaboda wenye mpk masters), ukiwa na biashara kumfanya messenger etc.In short kazi za dizaini hio
 
Usiingize Ujinga kwenye Discussion zenye mantiki. Huyo Diamond wako ana secret zake zilizomfanya afike pale... usipende kudanganyika na kuhadaika na mafanikio ya watu usiowajua kiundani. Fikiri kama mwanaume mwenye akili timamu. Shauri yako!

Kina Diamond wako wangapi halafu aangalie group hilo la 0 na 4 walivyo wengi halafu umpate Diamond mmoja…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…