Sijui waliwezaje kufundisha ili darasa...View attachment 2499192
Dogo unajona umefaulu mwenyewe? IdiotMnataka mfauli bila kusoma acha ujinga na uvivu
Kuna uhusiano gani Kati ya kuelemika na div 0 ama 1?Tatizo lako unashindwa kuelewa umuhimu wa kuelimika au kuwa na jamii iliyosoma. Hakuna kitu kigumu na cha hatari kama kuwa na jamii isiyo na elimu. Hata kuishi mitaani vizuri ni rahisi ukiwa umeelimika kuliko kuwa mbumbumbu..
Lilishafanyika na kujadiliwa likaonekana ni jambo kubwa mno na lenye faida na hasara kwa pande zote... mbali na hapo nafkiri waliona budget yake ni nzito na litafumua mfumo mzima. Hata wao wenyewe wataonekana empty nafkiri Wakaona waache au waliweke pending.Twende huko nchi za Scandinavians tuwape consultancy waje wauchambue mfumo wetu wa elimu, matatizo na changamoto zake and then watuandalie mfumo mpya unaoweza kuendana na mazingira yetu. Hawa jamaa wako vizuri mnoo kwenye elimu, tusione aibu jamani sisi wenyewe tumeshashibdwa.
Mkuu hata hao so called viongozi wanakuja semina zisizoisha ila hawaelewi kituTwende huko nchi za Scandinavians tuwape consultancy waje wauchambue mfumo wetu wa elimu, matatizo na changamoto zake and then watuandalie mfumo mpya unaoweza kuendana na mazingira yetu. Hawa jamaa wako vizuri mnoo kwenye elimu, tusione aibu jamani sisi wenyewe tumeshashibdwa.
Nakazia[emoji4]Wengi tu wametusua kimaisha
Wenye 1 wengi wao waajiriwa,na waalim wa sekondari
Ova
Hawa wanafynzi wa vyuo asilimia kubwa wanafaulu kwa kukariri, utaskia wanajifuMbona waliyohitimu veta wengi wao wanajuwa kukabiliana na hali ya mtaani,kuliko mwanafunzi ametoka udsm hana skills yoyote
Ova
Asilimia kubwa Matokea ya necta huwavimbisha Sana vichwa mitaanini nzuri sana , wakipata zero hao wanakuja kuwa wafanyabishara wakubwa na wakulima , hawa wajinga waliopata division three na one hawa wanaenda kuwa na wakati mgumu sana siku za hapo badae
Hii kitu nmeipigia Sana kelele Basi TU[emoji26]Mfumo wetu wa elimu ya Primary na sekondari uangaliewe upya.
Huu mfumo haumsaidii mwanafunzi akaweza kujitegemea. Unatengeneza kundi kubwa la wasaka ajira. Ni bora sekondari mfumo wake uwe wa kujifunza zaidi stadi za kazi ili mwanafunzi anapomaliza form 4 awe anaweza kujiajirika, kujiajiri au niseme kujitegemea.
Sasa hapo mtu kapoteza miaka 4 na hana ujizi wowote kichwani. Nikupotezeana muda.
O'level zote zibadilishwe ziwe kama VETA na msisitizo uwe kwenye kujifunza stadi za kazi
VETA ndio pagumu zaidi kuliko secondary hipo hivi kule kuna masomo sabaAim ya Hayati baba wa taifa haikuwa hii ila siku hizi VETA ndo kimbilio la waliofeli shule
Miaka 20 ijayo tutapata majibu ya hizi elimu bure.Tatizo lako unashindwa kuelewa umuhimu wa kuelimika au kuwa na jamii iliyosoma. Hakuna kitu kigumu na cha hatari kama kuwa na jamii isiyo na elimu. Hata kuishi mitaani vizuri ni rahisi ukiwa umeelimika kuliko kuwa mbumbumbu..
Wewe umeongea ukweli kabisa!Wengi tumepata zero na div 4 kwasababu nyingi mfano
1.umaskini plus na stress za familia
2. Kutoka form one hadi form four shule nzima ina walimu wawili,mwalimu mkuu na msaidizi wake plus miundombinu ya kujifunzia mibovu sana.
3.shule zipo mbali na makazi ya wanafunzi.
4.sera na usimamizi mbovu za elimu kiujumla wale wa 2012 wanajua.
Yeah mkuu Kuna watu wanao uwezo wanao mazingira sometime yanawafifishaMungu ana maguvu sana! Pia nafkiri hawa wanaopataga division four za 26-27 waangaliwe kwa jicho la tatu kabla hata hawajatoa hayo matokeo yao... wanaonesha wazi wana uwezo ila huenda sababu fulani fulani ziliwayumbisha. Hasa wale wenye points "26"
Panya roadDivision 4 ni 0 pia
Hao ndo madada poa
Ndo wadangaji
Ndo machinga
Ndo boda boda
Ndo wapiga debe
Ndo wafanya biashara
Hao wanao faulu wanafaulu katika mfumo upi wa elimu? Zaidi ya asilimia 500 kuongoja kuajiriwa wana kingine cha maaana? Mtaani kuna Bodaboda wana Degree zao nzuri tu unawazungumziaje na walifaulu vi,zuri sana kidato cha nne na sitaUnaonekana ulifeli shule wewe.. maana huna lolote unaloongea bali ni kutetea wanaofanya mchezo na shule. Nani alikwambia kuna michujo shule za namna hiyo ambazo zinazalisha Zero nyingi?! Ukianza utamaliza tu! Na ndo matokeo yake hayo...
Usitetee ujinga tunazalisha Taifa la vijana wajinga KWELIKWELI! na kaa usome tena sikuongea kuwaponda na kuwavunja moyo ambao hawakufanya vizuri shuleni.
Yeah nakumbuka kipindi kile ulikuwa mke wake so na confirm kuwa umeongea ukweliMboe alizungusha Ila Leo analamba asali