BodGanleonid
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 3,021
- 4,347
akili yako ndo inavyokuaminisha kuwa failure wote wanafanya hizi kazi?? Vipi akawepo mwenye degree zake anayefanya ubodaboda??Division 4 ni 0 pia
Hao ndo madada poa
Ndo wadangaji
Ndo machinga
Ndo boda boda
Ndo wapiga debe
Ndo wafanya biashara
Hao ni kati ya wale waliokuwa na matazamio (ambitious) kwa mambo yaliyo nje ya uwezo wao na hawakukubaliana na Ukweli kwamba maisha sio lelemama (sio mtelezo)au sio matamu kama pipi. Ndo hao wanapata msongo wa mawazo (stress) akingali ni kijana mdogo (kiumri) hajaoa na hana maono(Vision). Ukimwuliza unataka uwe nani katika Jamii, utamsikia anabwatuka "nataka niwe kama Lissu" Hahahaaa. halafu nijenge bonge la nyumba huko Bunju.....Kabisaa. Kuna mtu unakutana naye kwenye harakati, akakusimulia kiwango chake cha elimu hadi unamuuliza 'Na hapa unafanyaje sasa?' kwa nini uko hapa? 😢
Mkuu umeongea point, Ujue watanzania wengi bado tunaamini Div 1 ni tikite ya mtu kufanikiwa kwenye maisha, yaani ameisha toboa maisha,Maisha ni fomula sio Division na Kupata ziro sio kuwa na ziro maishani.
Unaweza ukawa na 1 mtaani ukaliftiwa na 0.
Akili mkichwa, division 0 ana alternative! [emoji119]
Wote wakifaulu mjini tutakosa mboga.
Ukitaka mambo yaende fanya kazi na ambaye hajasoma, kwani
wasomi wengi akili yao imelala, ni wavivu wa kujitoa. [emoji119]
Ataendesha Bodaboda au Bolt na Uber na maisha yatasogea ila tu tunaongeza idadi ya Mavijana majinga na ya hovyo mtaaniKupata zero maana yake yeye ameshindwa kukariri vitu ya darasani na sio kuelewa, kwa sababu bata hao wa Div 1 ukimuweka leo mtaani hawezi ishi kabisa
Sema wamechelewa sana aisee ila bonge la Idea, Mitihani isha geuka kuwa Biashara,safari hii NECTA wamefanya vizuri sana tena sana kuacha mchezo wa kutangaza shule bora na mwanafunzi bora.
hakika huu ulikuwa ni ujinga, wenye shule ambao waalikuwa wanategemea promotion ya kutangazwa wamepigwa butwaaa.
Diploma au Degree mkuu? Mimu kuba nibao wajua wamemaliza Chuo kikuu na ni Boda boda, ujue watu hatutaku kuamini kwba nyakati zimechange sana hilo watu hawataki kuaminiKuna Boda Wana diploma..
Kuna wadangaji Wana masters na PhD...
Tembea uone
Kumbe wenye zero ndio wanaajirigi wenye one, basi sawa.Walaio pata Div 1 wanaenda wapi baadae? Hawa wa Zero wakikomaaa watakuja kuajiri wenzao wa Div 1
Kweli kabisa mkuu. Ufaulu mzuri ulitakiwa uchukuliwe kama ni kielelezo tu cha uwezo wa kiakili au Maarifa na ni mtu anayeweza kujiongeza fasta endapo atapatiwa Fursa. I stand to be corrected.Kwa hio wa Div 1 watakuja kuajiriwa na nani? Serikali? Huwa hatutakua kuukubali ukweli kwamba kwa sasa nyakati zimechange sana, mtaani kuna Graduate wasio kuwa na idadi, hizi mentality za kukariri kwamba ufaulu mzuri ni tiketi ya maisha mazuri ni za kizamani sana, Time will tell
Binafsi Kila siku nazidi kuing'amua akili yako... we jamaa una matatizo... LIKUD hebu mfatilie huyu nafkiri ni GENTA mwingine... hanaga akili kabisa huyu jamaa
Lazima degrees wapo wengi..nawajua watu wenye masters hawana ajiraDiploma au Degree mkuu? Mimu kuba nibao wajua wamemaliza Chuo kikuu na ni Boda boda, ujue watu hatutaku kuamini kwba nyakati zimechange sana hilo watu hawataki kuamini
Hahaaa wangapi wanapata hizi Scholar ship? Unaweza kuta ni 1% tu, hata hio 1 inaweza isitimie, Kufeli Sio kwamba ndio kufeli life hilo eleweni hivyo, kafeli mitihani ya Formal education, ila hajafeli informal educationAnazungumzia Scholarship...! Kwahiyo una Verification badge ila mambo kama haya huyajui na huyaelewi pia?! [emoji3][emoji848][emoji848][emoji848]
Bodaboda wenye degree wapo wengi tu mkuu. Sio wa kutafuta.akili yako ndo inavyokuaminisha kuwa failure wote wanafanya hizi kazi?? Vipi akawepo mwenye degree zake anayefanya ubodaboda??
Hujamuelewa enzi za kuajiriwa zisha isha mkuu kwa sasa ni retrechment za kufa mtu huko Duniani, ajira zinaenda zinaisha kama sio kupungua.Kumbe wenye zero ndio wanaajirigi wenye one, basi sawa.
Umeicheki hoja ya jamaa sasa ilivyo na ujinga ndani yake.Bodaboda wenye degree wapo wengi tu mkuu. Sio wa kutafuta.
Watu hawaelewiKweli kabisa mkuu. Ufaulu mzuri ulitakiwa uchukuliwe kama ni kielelezo tu cha uwezo wa kiakili au Maarifa na ni mtu anayeweza kujiongeza fasta endapo atapatiwa Fursa. I stand to be corrected.
awamu ya 6 inatumia akili kubwa sana, hawakurupiki, naamini kila kitu kitawekwa sawa. japo tulichelewa lakini sio mbaya.Sema wamechelewa sana aisee ila bonge la Idea, Mitihani isha geuka kuwa Biashara,
Mkuy wengi sana hilo wala haliba mjadala sasa anagali mambo yalivyo badilika na hao Boda boda wenye degree wafuate waulize Form 4 walipiga ngapi kama sio 1 na Form six pia 1 ila ndio hivyo, nyakati zimebadilika sanaLazima degrees wapo wengi..nawajua watu wenye masters hawana ajira
Ujue shule nyingi zilikuwa zinatumia haya matokeo kama Biashara za kuvuta wanafunzu na kuwahzia fomu wazazi kwa sh 50, 000/ hapo fomu zinatolewa 4000 huku wao wakihitahi wanafunzi 150 pekeeawamu ya 6 inatumia akili kubwa sana, hawakurupiki, naamini kila kitu kitawekwa sawa. japo tulichelewa lakini sio mbaya.
Kongole kwa Eaziri wa Elimu Prof. Mkenda hakika anaitendea haki hii wizara, angalau sasa tuna matumaini kuhusu elimu yetu.
Mkuu ulipata zero Nini?Mkuu umeongea point, Ujue watanzania wengi bado tunaamini Div 1 ni tikite ya mtu kufanikiwa kwenye maisha, yaani ameisha toboa maisha,
Hakunaga fomyula bosi wangu!Walaio pata Div 1 wanaenda wapi baadae? Hawa wa Zero wakikomaaa watakuja kuajiri wenzao wa Div 1