Wanafunzi Chuo kikuu UDSM wapewa saa 48 kuondoka kwenye mazingira ya chuo

Serikali hii ni sikivu inaweza kuwapatia vocha ya nauli wale watakao shindwa kuondoka ilimradi wajioganize kwa utaratibu maalum.
 
Ata ukkisign mzee hawashindwi kutoliingiza
SAA 48 chache sana wengine hawana ndugu wala jamaa wa kufikia ..

Asilimia kubwa Wanafunzi wametoka mkoani wakitegemea boom maisha mengine yaendelee..kuna wengine wameshasign kabla ya zoezi kusitishwa..

Hawa ndo wanatamba ila Baadae watakiona cha moto..wale wenzangu na Mimi sijui mtaelekea wapi mliokuwa mnategemea boom.. Chuo kingewapa Hata siku 7 zingetosha kupambania kurudi mikoani wale wa mbali

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa HESLB ndo wameharibu kila kitu!

1/Kuna waliokopa wakijua boom Ikiingia wanarudisha.
2/Kuna wale walibaki hostel sababu home mbali nauli yakwenda na kurudi karibia lakhi.
3/Kuna waliokosa nauli kabisa.
4/Kuna ambao wamefanya chuoni ndio home hawapataki tena kwao sababu home kijijini sana na washakua watoto wa town.
5/Kuna wanaovimba town kwa mshiko wa boom.
6/.....
7/.....

Kiama chao ni after 48 hrs, hawatakiwi kuonekana huko hostel.View attachment 1392217
 
Hapana, ningekuaga enzi zangu ningeopoaaa muchuchu sasa hiviee. Wapeninii nambaa zangu

Don't make a promise you can't fulfill...
 
Back
Top Bottom