Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 21,236
- 36,271
Yeah, it pumps out chocolate drops...
Woohaaaa wuuuhuuuuuuuu aahahahahhaahhaaaa Nyaabuuuuuuu
Yemiiii Alaadeeeeee.....
Ona sasa Ona.....Ona sasa Ona....
Yeah, it pumps out chocolate drops...
Kwani wamefanya uhalifu gani?
Leo Mimi mwenyewe nimetoka kukata ticket nimesikitika sana kukuta watoto wengi wanahangaika stand Arusha hawana ticket na mvua inanyesha.Nimeumizwa sana na hali hiyo.
Kitendo cha kufunga shule zote nchi nzima na vyuo kimeleta changamoto kubwa sana ya usafiri.Msongamano ninaouona stand,jinsi mabasi yetu yanavyosafiri watu wanafunga vioo vyote,sikuona maji ya kunawa wala sanitizer,watu kugusana kwenye ule msongamano wa stand ilikuwa kawaida tu.
Mungu aingilie kati maana kweli imekuwa nje ya uwezo wetu wa kufikiri,kuamua na hata kujilinda
Sent using Jamii Forums mobile app
Chuo kikuu cha Taifa kimepata mtikisikoHabari waungwana?
Chuo kikuu cha Dares salaam. Kimewapa wanafunzi wanaosoma hapo saa 48 kuwa wameondoka mazingira ya chuo
Taarifa zaidi kuwaijieni hivi punde.
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaBinti ambaye kweli anahitaji msaada,,, awasiliane na mke wangu 0756876365
Sent using Jamii Forums mobile app
poaMambo mrembo..?
😂😂😂😂Kama naona vijana wa magetoni wanavyoshangilia.
doohYeah, it pumps out chocolate drops...
Nafahamu hatari inayowakaribia mabint wanafunzi wa vyuo ambao wameambiwa ndani ya 48 hrs wawe hawaonekani kuzagaa zagaa maeno ya udsm.
Najua vijana wa ghetto wanalamba tu midomo yao muda huu na kupasha moto mikono. Mbwa nyie... Acheni ujinga. Waacheni mabinti waje kwangu.msiwazuie.
Nakaribisha binti ambaye atakuwa tayari kupimwa na kuamua kuja kukaa hapa napoishi. Nina vyumba viwili ambavyo havitumiki.
Binti awe mzuri maana sitaki kukaa na bint ambaye ana tabia mbaya. Pia aelewe kuwa mimi sina lengo la kuwa naye kimapenzi. Nataka tu kumsaidia malazi na chakula. Si maradhi please.
Nasisitiza vijana mafisi acheni kutokwa udenda kipindi hiki cha hatari.mtakufa kwa corona. Shauri yenu.
Karibu dada utajisikia kama upo kwako.
Kwenye kudeal na majanga kama haya hizo option za siku 7 sijui 14 hazipo, minimaze the risk as possible. Siku 7 akitokea wagonjwa wawili tu hapo chuo ni majanga zaidi ya hilo janga la nauli.SAA 48 chache sana wengine hawana ndugu wala jamaa wa kufikia ..
Asilimia kubwa Wanafunzi wametoka mkoani wakitegemea boom maisha mengine yaendelee..kuna wengine wameshasign kabla ya zoezi kusitishwa..
Hawa ndo wanatamba ila Baadae watakiona cha moto..wale wenzangu na Mimi sijui mtaelekea wapi mliokuwa mnategemea boom.. Chuo kingewapa Hata siku 7 zingetosha kupambania kurudi mikoani wale wa mbali
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unao hapo ulipo unapopaita kwako.Ndio muupeleke makwenu sasa.
SAA 48 chache sana wengine hawana ndugu wala jamaa wa kufikia ..
Asilimia kubwa Wanafunzi wametoka mkoani wakitegemea boom maisha mengine yaendelee..kuna wengine wameshasign kabla ya zoezi kusitishwa..
Hawa ndo wanatamba ila Baadae watakiona cha moto..wale wenzangu na Mimi sijui mtaelekea wapi mliokuwa mnategemea boom.. Chuo kingewapa Hata siku 7 zingetosha kupambania kurudi mikoani wale wa mbali
Sent using Jamii Forums mobile app
Binti ambaye kweli anahitaji msaada,,, awasiliane na mke wangu 0756876365
Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTES]