Wanafunzi 6 wafariki kwa kugongwa na basi Mbeya

Nimepoteza rafiki huko mbeya miezi iliyopita hivi hivi kwa mtindo huu huko songwe ila sijajua mbeya jeografia yao ya barabara ni salama au sio salama
 
Wanafunzi 6 wa shule ya Sekondari Chalangwa iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Chunya mkoa wa Mbeya, waliokuwa wakifanya mazoezi barabara kuu ya Chunya-Mbeya , wamefariki dunia kwa kugongwa na basi la Safina aina ya Yutong lenye namba za usajili T 194 DCE, linalofanya safari zake kutoka Lwalaje wilayani Chunya na Mbeya mjini, huku wengine nane wamejeruhiwa, chanzo cha ajali hiyo kikitanjwa kuwa ni uzembe wa dereva

Mkuu wa Wilaya ya Chunya Bw.Mbarack Batenga baada ya kutokea ajali hiyo ametoa maagizo kwa wakuu wa shule na Mkurugenzi na kuahidi atakae kaidi agizo hilo kushughulikiwa

Chanzo: ITV DIGITAL
Aisee
Hasara kubwa kwa wazazi 💔
 
Hasara kubwa kwa wazazi
So sssaaaadddd 🙁. Inna lilahi wainna ilayh rajiuun. Mungu Awapunzishe kwa Amani na Awajaalie walioumia wapate nafuu kwa haraka..

Dereva hakuwa amelewa kweli?
Barabara ya chunya Haina sehemu ya watembea kwa miguu.
Kiujumla Barabara za Mbeya ni Finyu sana na hazina sehemu ya kutosha .

Dereva naye ni mwehu sana,Angeweza zuia hiyo ajali kama ni hapo Charangwa.
Shida gari zinakimbia sana pia.
 
Aisee
Hasara kubwa kwa wazazi

Barabara ya chunya Haina sehemu ya watembea kwa miguu.
Kiujumla Barabara za Mbeya ni Finyu sana na hazina sehemu ya kutosha .

Dereva naye ni mwehu sana,Angeweza zuia hiyo ajali kama ni hapo Charangwa.
Shida gari zinakimbia sana pia.
😔😔😔...inaskitisha vijana 6 kuondoka kwa mpigo. Mungu Awape subra wazee wao
 
Magari ya Chunya yanakimbia sana bila kujali chochote.
Yaani barabara ni mbaya kona nyingi ila cha kushangaza madereva ni majasiri sana,
Hawajali chochote,hata zebra hawasinami,,ukipita vibaya anakuzoa.

Mtu anaona wanafunzi Barabarani
Hata kama walikosea,
Angeweza ty kuwa muungwana kwa kusimama kwanza.
Yeye akanyoosha Ili wampishe,ona unaenda kuua binadamu sita kwa upumbavu tu na kiburi Cha kutotaka kusimama.
 
Back
Top Bottom