Wanafunzi 33 na walimu 2 waliofariki kwa ajali ya basi Karatu, Arusha wazikwe pamoja. Mnara ujengwe

M
Huyu atakuwa hana mtoto/watoto,sio kosa lake tumsamehe tu.Maana wazo lake hata mimi limenishangaza.
Mbona asikari polisi waliouawa kibiti tenants wakiwa kazini hawakuzikwa pamoja? Hawa wanafunzi walikuwa name ushujaa gani? Austin wakwenda kutalii.
 
Wewe jenga mnara. Waache wafiwa wazike watoto wao kila mtu kwao.

Hao MV Bukoba, walizikwa pamoja kwa sababu hawakutambulikana. Hivi kweli wewe unamtambua ndugu yako, utaacha azikwe kwenye eneo la ajail ili iwe kumbukubmu ya nani? Kumbukumbu nzuri ni ile ambayo ndugu wa Marehemu wanaweza kuifikia muda wote wakitaka. Usitake kuafnya usiasa kwenye maziko ya watu.

Kujenga mnara eneo la tukio hakulazimish kwamba chini ya mnara kuwe na mifupa ya marehemu. HAPANA.

Sokoine alizkiwa Monduli japo haijulikana kama alivia kwenye ajali ama morogorow mochwari.

WAle watu wa Isyonje Mbeya (ajali ya wizi wa mafuta). wallizikwa pamoja kwa kuwa waliungua na hawakuweza kutambulika).

Ndugu zangu wanJF.

Kutokana na msiba huu kubwa mkubwa kitaifa,napendekeza marehemu hawa wazikwe mahali pamoja iwe eneo la kumbukumbu na kuwaenzi watoto, ndugu, jamaa zetu. Serikali kwa kushirikiana na wafiwa,ndugu,jamaa na shule husika tujenge mnara eneo la tukio kama ambavyo imewahi kufanya maeneo mengine, kama kumbukumbu ya marehemu hawa.

AJALI YA MV BUKOBA: Marehemu walizikwa pamoja na mnara ulijengwa huko Igoma, Mwanza

AJALI YA WAZIRI MKUU MSTAAFU EDWARD MORINGE SOKOINE:
Mnara ulijengwa pale Wami SOKOINE,Dakawa Morogoro

KIFO CHA MWANDISHI WA CHANNEL 10,DAUDI MWANGOSI:
Mnara ulijengwa pale Nyororo, Mafinga Iringa

KIFO CHA ALPHONCE MAWAZO:
Mnara ulijengwa

View attachment 505599

Edward Moringe SokoineView attachment 505600

Alphonce Mawazo.
 
Punguza mihemko ya kisiasa kwenye mambo sensitive mkuu
 
Chadema bhna yani mnawaza minara tuu wenzenu wako kwenye majonzi
 
Ndugu zangu wanJF.

Kutokana na msiba huu kubwa mkubwa kitaifa,napendekeza marehemu hawa wazikwe mahali pamoja iwe eneo la kumbukumbu na kuwaenzi watoto, ndugu, jamaa zetu. Serikali kwa kushirikiana na wafiwa,ndugu,jamaa na shule husika tujenge mnara eneo la tukio kama ambavyo imewahi kufanya maeneo mengine, kama kumbukumbu ya marehemu hawa.

AJALI YA MV BUKOBA: Marehemu walizikwa pamoja na mnara ulijengwa huko Igoma, Mwanza

AJALI YA WAZIRI MKUU MSTAAFU EDWARD MORINGE SOKOINE:
Mnara ulijengwa pale Wami SOKOINE,Dakawa Morogoro

KIFO CHA MWANDISHI WA CHANNEL 10,DAUDI MWANGOSI:
Mnara ulijengwa pale Nyororo, Mafinga Iringa

KIFO CHA ALPHONCE MAWAZO:
Mnara ulijengwa

View attachment 505599

Edward Moringe SokoineView attachment 505600

Alphonce Mawazo.
.Sina imani na avatar yako kwanza
 
M

Mbona asikari polisi waliouawa kibiti tenants wakiwa kazini hawakuzikwa pamoja? Hawa wanafunzi walikuwa name ushujaa gani? Austin wakwenda kutalii.
Tatizo sio ushujaa ila tatizo hawa watoto wana wazazi,why wazikwe pamoja wakati wana wazazi wao na wanatambulika?kitakachofanyika ni heshima za mwisho za pamoja,na hili pia lazima wazazi wawe consulted.
 
Sio wazo baya na sio lazima wazikwe pamoja ili mnara ujengwe. Mwaka 1999 wanafunzi wa shule ya mazoezi Patandi uko Arusha walipata ajali wakiwa wanatembelea ngorongoro crater na kusababisha vifo vya wanafunzia zaidi ya 15.
Mnara umejengwa kwenye hiyo shule,wenye majina ya wanafunzi wote waliopoteza maisha kwenye ajali.
Mnara kujengwa sehemu waliyopatia accident siyo tatizo,ila tatizo ni kuzikwa sehemu moja.
 
Hii nchi hii,basi tu..

Watu wa kaskazini kuzika watu wao nje ya ardhi yao au mikoani mwao ni shughuli nzito, ndio waje kukubali kuwazika pamoja?

Tuwaache watu waomboleze na wahifadhi watoto wao vizuri wanavyotaka!
 
Back
Top Bottom