hapo kwenye red habari ndo hiyo mkuu....................wanawaita wazee ATMUmelifanyia utafiti suala hili?? Ni kwa vyuo vya Tz nzima au mkoa mmoja? Na ni wanafunzi wote au baadhi tu,?
<br />Lalalalaa, maybe wanataka pocket money
kwani hawana wazazi..............???Lalalalaa, maybe wanataka pocket money
asilimia kubwa ya wanafunzi wa colleges na vyuo vikuu sio wote ila wengi sijajua huko mikoa but hapa dar nawaona na ndomana nikatoa mifano ya huku, pia nnaishi nao hapa nnapoishi kuha hostel nyingi sana za vyuo tofauti tofautiumelifanyia utafiti suala hili?? Ni kwa vyuo vya tz nzima au mkoa mmoja? Na ni wanafunzi wote au baadhi tu,?
chunga tamaa mbaya
hili hata wakaka linawahusu coz tunawaona wengi tu wanahongwa hongwa pesa na wamama/wadada wenye ankala zao wanawasahau hata magal friends wao walowaacha huko kwao! Lol!