Wanachuo wengi maisha yao yako hivi!

Wanachuo wengi maisha yao yako hivi!

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Nouma sana
 
Wanafanya hayo ili wawe na chakuhadithia uzeeni...
 
Pale udsm hall five haka katabia ka kupigana exile kalizi sana.
 
sioni hata uzinzi humo! kwani si kila mmoja kalala kitanda chake!
Mbona sie wakati tuko JKT tulikuwa tunakwenda kulala kwenye mahanga ya wanaume kwa kuwa yalikuwa karibu na kombania ili afande akipuliza filimbi ya mchakamchaka tuwahi kufoleni na hatukuwa wazinzi na wala hatukuwa tuna duuu!!!!
Angalia decker ya chini kwa umakini na hata chini ya kitanda hivyo viatu.
 
Back
Top Bottom