Wanachuo wengi maisha yao yako hivi!

Habarini wanaMMU,

Nimependa kuShare nanyi maisha ya wanachuo walio wengi ambayo ni uzinzi,ulevi bila kusahau Disco usiku kucha.
6228b10b2e01b40c500a883b2b3e519a.jpg


Ni hatari sana maisha hayo.

Kama ulipitia maisha hayo tupe experience yako.

Karibu!!!!!!!
4a243eae5decbb71148315449071f042.jpg
hii ndio original image
 
Uko vizuri mtoa uzi lakin kumbuka c kila msafara wa mamba Kuna kenge japo wanaeeza kuhisiwa kuwamo so jambo Hilo ni kweli hasa nyakati ambazo watu wamemalza ue ndo vitu hivyo huwa on point coz people stay free with nought to do at that moment so mawazo yao mengi rely on thinking abt sex and romance and other luxury issues to make them refresh and recreation take place through it
 
Back
Top Bottom