[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Inaonekn we mzoefu xn
Zilikuwa ni enzi zile za ujinga mkuu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Inaonekn we mzoefu xn
picha ulochora nzuri,ila ishi maisha yako acha unafiki na uandishi pasipo malipo,bwege!Habarini wanaMMU,
Nimependa kuShare nanyi maisha ya wanachuo walio wengi ambayo ni uzinzi,ulevi bila kusahau Disco usiku kucha.
![]()
Ni hatari sana maisha hayo.
Kama ulipitia maisha hayo tupe experience yako.
Karibu!!!!!!!
Daaah!sawa mkuu,Upo chuo gani ndugu ?picha ulochora nzuri,ila ishi maisha yako acha unafiki na uandishi pasipo malipo,bwege!
Kwann mkuuNiwashauri tu sio vizuri kuweka Laptop kwenye kitanda (Godolo)
Hongera kwa takwimu nzuri.Japo sample yako ulichukua kwa walimu pekee,sijui kwa wanaisomea udaktari,uNesi,uhandisi n.k hali ikoje?Wenye tabia ulizozitaja hapo chuoni hawafiki hata 20%. Sa sijui unazungumzia wingi upi.
Unajaribu kukieleza ni propaganda za mtaani.
Nilipokuwa Sekondari nilifikiri Kama wewe lakini Mara nilipoingia chuoni mambo yalikuwa kinyume kwa asilimia kubwa.
Suala kubwa nililoliona ni Uhuru lakini hayo mengine ni Porojo za watu wasiokaa na makundi yote.
Chuoni kuna makundi mengi,
Kuna wenye uwezo ambao kwa vyuo vya serikali Kama Udsm, Sua, Udom, Mzumbe, Muhas n.k kundi hili hawazidi 20% ya wanachuo katika vyuo tajwa hapo juu(serikali).
Wenye Mkopo.
Kundi hili kwa baadhi ya vyuo ni wengi huku vyuo vingine wakiwa ni wachache.
Unachojaribu kuelezea mtoa Uzi ni kuwa Watu waliokaribu yako ndio wenye tabia hizo ulizoziainisha.
Nilitegemea utaje miongoni mwa yafuatayo ambayo wanachuo wengi hupendelea kufanya wakiwa chuoni;
1. Kuvaa Earphones masikioni kila Mara.(68%).
2. Kuvaa mabegi ya migongoni na mikoba kwa wadada.(95%)
3.Kulala Sana mchana hasa siku za wikiend. Kutokana na kukosa kwa kwenda.(70%)
4. Kukaa bila ramani au ratiba yoyote pale wakisubiri vipindi vilivyoacha na masaa yasiopungua mawili.(75%) by
5. Kutokujali mambo yajayo baada ya wao kumaliza chuo.(86%)
6. Kuvaa kufuatana na mitindo husika ya wakati.(70%).
7.kumilikia simu kupangusa-Smartphone(87%).
1. Kwenda disco,Nightclub, n.k (30%).
2. Kusheherekea Sikukuu za kuzaliwa. (10%).
3. Michezo,mitindo, na burudani(25%).
4. kucheki Movies kwenye PC(40%).
5. kutembea mtu na mpenzi wake (10%).
6. Kutembea mwenyewe
Mwaka wa Kwanza 45%
Mwaka wa pili. 10%
Mwaka wa tatu 35%.
7.Kutembea zaidi ya wawili
Mwaka wa Kwanza 55%
Mwaka wa pili 35%.
Mwaka wa tatu.12%.
8.kutembea watu wawili pekee.
Mwaka wa kwanza 30%
Mwaka wa pili 60%
Mwaka wa tatu's 65.
Wako loose sanaWanafunz wa sanaa ya ualimu ndo zao hizo...ndo maana anko Magu anawatema.
Hahaa,just kidding wakuu
Ushauri mzuri sana dadaJihadhari usijemaliza chuo na AIDS badala ya A's...ts okay to have fun but usipitilize,matumizi mabaya ya uhuru wa mwanachuo yanaweza kukuponza...my Uni days nlikua shule shule na mimi ili nipate GPA nzuri,apart frm school nlipenda kushiriki ktk projects za academic groups zile,inakujenga kuwa mtu makini
Usiogope mkuuDuuuh mbona unatutisha tunaosomesha wake zetu huko
Mchoraji alijitahd kuchora kw kwrliUlivyochora ulikaa upande upi
Kweli yaani cjui wanakuwa wanawaza ninike na me wote Hawana haya
Je weye ndo huyo hapo chini au?? Siku huyo wa juu akileta nawe utakuwaje maana yaonesha wa juu alibaki kuangalia pornooo. Kweli utoto raha mpaka baasi. Ulienda kutafuta anasa au ilim??
Mkuu moyo na maini vinaelekea kukutanaUsiogope mkuu
Huyo Jamaa wa juu kafikaje hapo kitanda hakina ngazi