Lazaroj
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 1,451
- 1,051
na vipera vya fasihi,eti kwa ushauri tumpigie huyu jamaa sijui kala maharagwe ya wapi huyuuuuHuyu jamaa atakuwa mhanga mkubwa sana katika yote aliyoyataja na bahati mbaya kuna uwezekano mkubwa kuwa alisoma ualimu wa histori na vitenzi mbinuko. Leo ajira zimewekwa mfukoni, mtaani noti hazipo, biashara hana mtaji, kilimo hakuna mvua ameanza kujutia aliyoyafanya wakati anasoma-wacha aisome namba mwenyewe.