Wanachuo hivi mtahonga tena fedha za Mkopo???

Mwinjilist mtume nabii

JF-Expert Member
Feb 21, 2015
2,437
1,098
Mungu awe mwema kwako!!!

Inafahamika kuwa watanzania tuliowengi hatuna ratiba,,na bajeti katika maisha yetu,,,,,hivyo hatujui wakati ujao.
Wanafunzi wengi wa Chuo waliopata mkopo wengine walijaribu hata kuwabeza wale ambao hawakupata mkopo. Na hao waliopata walizitumia vibaya sana kwa kujua kwmb zipo na wengi walitumia kwa anasa.

Zile pesa za mkopo wa chuo ni kwa ajili ya chakula na vifaa vya masomo,,Lakini wengi wakanunua computer,,,masofa,,,,kwenda Mlimani city kwa show off,,,,,kuwahonga makahaba. Sasa hiyo ni dalili ya kukosa ufaham na bajeti na kutoona kule unakoelekea.
Pamoja na makato ya sasa ya 15% bado unaweza kuishi tuu.

Siri kubwa nawapa leo:: Hakikisha kila pesa unayopata unaitolea FUNGU LA KUMI KANISANI. MAANA KAZI YA FUNGU LA KUMI NI KUWAZUIA WEVI WASILE PESA YAKO.

TATZO SI PESA NDOGO,,,,,,,TATZO PESA ZAKO HAZINA ULINZI WA KIMUNGU MAANA HATA ZINGEKUA NYINGI KIASI GANI,, ZOTE WEVI (mapepo) wanaweza kuzichukua tuuu.

Na sio kila mahali unaweza kutoa hilo Fungu la kumi ukapata ulinzi,,,, Hakikisha mahali unapotoa kuna MUNGU WA KWELI ALIYEUMBA MBINGU NA NCHI.

MUNGU ALIYE HAI NA AWAPE WEPESI WA KUTOA FUNGU LA KUMI,,,,NA AKUELEKEZE MAHALI SAHIHI PA KUTOA KWA JINA LA YESU KRISTO. Amen.

Kwa ushauri,,na maombezi zaidi piga simu 0757856336/ 0623328088/ 0788599211.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Kiongoz umefikiria upande wa pili km nao wana fungu la kumi?, na unahisi kila mtu ni mwana dini?
Bora ungewafuata mnaosali nao ukajitahid kuwaambia hichi ulichoweka, angalau ungeeleweka. Mtu kununua computer, sofa kwako unahisi ni anasa? Labda wewe hukuwahi kusoma kwa level hiyo ndo maana una maoni hayo. Hadi kununua vitu hivyo ujue ndo kafikiria huko, ulitaka anunue kuku afuge?
 
Computer si sehemu ya mahitaji ya Mwanafunzi wa Chuo?

Na hilo fungu la kumi linaingiaje kwenye pesa ya kujikimu mwanafunzi?
 
Hivi wanachuo wa UDOM nao wanaenda mlimani city!? Kwani target hasa ya mlimani city ni kwa watu wa namna gani, au wanaofika kwa shopping huko fedha yao inatoka HESLB or what, mtoa mada naona kama bado hujaelekeza fikra zako mahali husika kwa hilo fungu la kumi.
 
Kilicho kichwani kwake ndio hicho alichosema

Na amezungumzia fungu la kumi maana ndipo alipo na kupajua vizuri pengine atakuja wa upande huo kueleza wafanyaje

Huo ufugaji wa kuku ni moja kati ya mengine ambayo wangeweza kufanya kwani sofa ni nini

Wasirudie tena hayo aliyoeleza kwa hawa wafuatao katika hiyo mikopo
 
Nikuulize swali?? Kwan ktk zile pesa za mkopo kuna fungu la kununulia sofa???? Au music system???? Unawezaje kusema ile pesa ni ndogo ikiwa umepewa kwa ajili ya chKula alafu ww ukaenda kununua SOFA??? KWANI SOFA NDO ILIKUFANYA USOMA UELEWE????

MM kama Mtu wa Mungu kazi yangu ni kusema unatakiwa kutoa Fungu la kumi bila kujali ww unaamini nini. Ufunguke
 
Computer si sehemu ya mahitaji ya Mwanafunzi wa Chuo?

Na hilo fungu la kumi linaingiaje kwenye pesa ya kujikimu mwanafunzi?
Pesa yoyote unayopata bili kujali imetoka wapi, ni lazima uitolee fungu la kumi. Fungu la kumi inalinda pesa hisika tuuu. Kama ya mkopo hujatoa fungu la kumi,,ujue pesa za mkopo hazina ulinzi,,,
 
Alichokiongea inawezekana kikawa sahihi asilimia zote but kinaweza kikawa wrong kwa 99% lakini nahisi mtazamo wake ni biased sana.....na fungu la kumi huwa tunatoa kutokana na source yako ya income angenambia sadaka ni sawa kabisaaaa
 
Huyu jamaa atakuwa mhanga mkubwa sana katika yote aliyoyataja na bahati mbaya kuna uwezekano mkubwa kuwa alisoma ualimu wa histori na vitenzi mbinuko. Leo ajira zimewekwa mfukoni, mtaani noti hazipo, biashara hana mtaji, kilimo hakuna mvua ameanza kujutia aliyoyafanya wakati anasoma-wacha aisome namba mwenyewe.
 
Hivi wanachuo wa UDOM nao wanaenda mlimani city!? Kwani target hasa ya mlimani city ni kwa watu wa namna gani, au wanaofika kwa shopping huko fedha yao inatoka HESLB or what, mtoa mada naona kama bado hujaelekeza fikra zako mahali husika kwa hilo fungu la kumi.
Nimetaja Mlimani city kama sehem za starehe,,,au za matumizi makubwa. Lakn wapo wachache walioweza kutumia mikopo ya Chuo wakafungua miradi huko nyumbn kwao,,,,,wao wala haoni km iyo 15% ni shida kukatwa. Sasa kati ya ww na huyu aliyefungua miradi mkisimama ktk Taifa kueleza nani ataungwa mkono????
 
Kilicho kichwani kwake ndio hicho alichosema

Na amezungumzia fungu la kumi maana ndipo alipo na kupajua vizuri pengine atakuja wa upande huo kueleza wafanyaje

Huo ufugaji wa kuku ni moja kati ya mengine ambayo wangeweza kufanya kwani sofa ni nini

Wasirudie tena hayo aliyoeleza kwa hawa wafuatao katika hiyo mikopo
Kumbe umeelewa sasa,,,,, kwa wale mlioko chuoni sasahv ndo mjifunze maana inawezekana ninyi mkija kuajiriwa mkopo makato yatakua 20%. Tumia vzr wakati huu lakn Kumbuka kutoa FUNGU LA KUMI
 
Huyu jamaa atakuwa mhanga mkubwa sana katika yote aliyoyataja na bahati mbaya kuna uwezekano mkubwa kuwa alisoma ualimu wa histori na vitenzi mbinuko. Leo ajira zimewekwa mfukoni, mtaani noti hazipo, biashara hana mtaji, kilimo hakuna mvua ameanza kujutia aliyoyafanya wakati anasoma-wacha aisome namba mwenyewe.
Unataka pesa unafanyakazi????? Pesa za kula zipo ila za kuendea beach,,,,bar,,clubs,,,,ndo hazipo/hauna sema tuu ukweli.
 
Mungu awe mwema kwako!!!

Inafahamika kuwa watanzania tuliowengi hatuna ratiba,,na bajeti katika maisha yetu,,,,,hivyo hatujui wakati ujao.
Wanafunzi wengi wa Chuo waliopata mkopo wengine walijaribu hata kuwabeza wale ambao hawakupata mkopo. Na hao waliopata walizitumia vibaya sana kwa kujua kwmb zipo na wengi walitumia kwa anasa.

Zile pesa za mkopo wa chuo ni kwa ajili ya chakula na vifaa vya masomo,,Lakini wengi wakanunua computer,,,masofa,,,,kwenda Mlimani city kwa show off,,,,,kuwahonga makahaba. Sasa hiyo ni dalili ya kukosa ufaham na bajeti na kutoona kule unakoelekea.
Pamoja na makato ya sasa ya 15% bado unaweza kuishi tuu.

Siri kubwa nawapa leo:: Hakikisha kila pesa unayopata unaitolea FUNGU LA KUMI KANISANI. MAANA KAZI YA FUNGU LA KUMI NI KUWAZUIA WEVI WASILE PESA YAKO.

TATZO SI PESA NDOGO,,,,,,,TATZO PESA ZAKO HAZINA ULINZI WA KIMUNGU MAANA HATA ZINGEKUA NYINGI KIASI GANI,, ZOTE WEVI (mapepo) wanaweza kuzichukua tuuu.

Na sio kila mahali unaweza kutoa hilo Fungu la kumi ukapata ulinzi,,,, Hakikisha mahali unapotoa kuna MUNGU WA KWELI ALIYEUMBA MBINGU NA NCHI.

MUNGU ALIYE HAI NA AWAPE WEPESI WA KUTOA FUNGU LA KUMI,,,,NA AKUELEKEZE MAHALI SAHIHI PA KUTOA KWA JINA LA YESU KRISTO. Amen.

Kwa ushauri,,na maombezi zaidi piga simu 0757856336/ 0623328088/ 0788599211.
Rais amesema kila mtu afanye kazi, na wachungaji tafuteni vibaruwa muanze kula kwa jasho lenu, nitowe fungula 10 ili upeleke wapi?

Huu ni utapeli uliotungwa na watu wenye akili miaka mingi nyuma, huwezi kumwambia mzungu upuuzi hu wa fungu la 10 na wana maendeleo makubwa.

Kwanza ni wapi Mungu anahitaji pesa kutoka kwa binadamu? Ili huyo Mungu hizi pes atumie wapi?

Sasa wachungaji mtafute vibariwa vya kufanya kama ni ibada ni jumapili hizi siku nyingine mtafute shughuri za kufanya kuingiza pesa kwa jasho lenu badala ya pesa za waumini waoga wanaotowa pesa baada ya kujazwa hofu isiyokuwepo. Mythology.
 
Nilichoelewa ni kwamba,kwa maombezi zaidi na uwekaji wa hilo fungu la kumi,wawasiliane na wewe kupitia hizo namba

Huu ni zaidi ya ujasiriamali wa mwinjilisti masanja mkandamizaji
 
Pesa yoyote unayopata bili kujali imetoka wapi, ni lazima uitolee fungu la kumi. Fungu la kumi inalinda pesa hisika tuuu. Kama ya mkopo hujatoa fungu la kumi,,ujue pesa za mkopo hazina ulinzi,,,
Huu ni upuuzi unaoweza kumwambia Mwafrika tu na kwa ujinga wake wapo wanaoamini ujinga huu.
 
Rais amesema kila mtu afanye kazi, na wachungaji tafuteni vibaruwa muanze kula kwa jasho lenu, nitowe fungula 10 ili upeleke wapi?

Huu ni utapeli uliotungwa na watu wenye akili miaka mingi nyuma, huwezi kumwambia mzungu upuuzi hu wa fungu la 10 na wana maendeleo makubwa.

Kwanza ni wapi Mungu anahitaji pesa kutoka kwa binadamu? Ili huyo Mungu hizi pes atumie wapi?

Sasa wachungaji mtafute vibariwa vya kufanya kama ni ibada ni jumapili hizi siku nyingine mtafute shughuri za kufanya kuingiza pesa kwa jasho lenu na pesa za waumini waoga wanaotowa pesa baada ya kujazwa hofu isiyokuwepo. Mythology.
Kwan ww unapoenda kanisani kwny ibada,,,huwa anakujaga Mungu km alivyo kutoka mbinguni??? Si yule Kiongozi anaesimama mbele yako!! Na km unajua kuabudu kwann usikae nyumbani tuu.
Na kama uchungaji sio kazi,,je ww unaweza???? Wafanyao madhabahuni watakula vya madhabahuni imeandikwa
 
Mungu awe mwema kwako!!!

Inafahamika kuwa watanzania tuliowengi hatuna ratiba,,na bajeti katika maisha yetu,,,,,hivyo hatujui wakati ujao.
Wanafunzi wengi wa Chuo waliopata mkopo wengine walijaribu hata kuwabeza wale ambao hawakupata mkopo. Na hao waliopata walizitumia vibaya sana kwa kujua kwmb zipo na wengi walitumia kwa anasa.

Zile pesa za mkopo wa chuo ni kwa ajili ya chakula na vifaa vya masomo,,Lakini wengi wakanunua computer,,,masofa,,,,kwenda Mlimani city kwa show off,,,,,kuwahonga makahaba. Sasa hiyo ni dalili ya kukosa ufaham na bajeti na kutoona kule unakoelekea.
Pamoja na makato ya sasa ya 15% bado unaweza kuishi tuu.

Siri kubwa nawapa leo:: Hakikisha kila pesa unayopata unaitolea FUNGU LA KUMI KANISANI. MAANA KAZI YA FUNGU LA KUMI NI KUWAZUIA WEVI WASILE PESA YAKO.

TATZO SI PESA NDOGO,,,,,,,TATZO PESA ZAKO HAZINA ULINZI WA KIMUNGU MAANA HATA ZINGEKUA NYINGI KIASI GANI,, ZOTE WEVI (mapepo) wanaweza kuzichukua tuuu.

Na sio kila mahali unaweza kutoa hilo Fungu la kumi ukapata ulinzi,,,, Hakikisha mahali unapotoa kuna MUNGU WA KWELI ALIYEUMBA MBINGU NA NCHI.

MUNGU ALIYE HAI NA AWAPE WEPESI WA KUTOA FUNGU LA KUMI,,,,NA AKUELEKEZE MAHALI SAHIHI PA KUTOA KWA JINA LA YESU KRISTO. Amen.

Kwa ushauri,,na maombezi zaidi piga simu 0757856336/ 0623328088/ 0788599211.
sasa fungu la kumi la mkopo wa chuo wakati hakuna kipato kinachoingia huo ni wehu,alafu tabia ya kuonga sio kwa wanafunzi wa chuo tu hio ni hulka ya mtu,hata wewe mtoa mada ushaonga kabinti
 
Kwan ww unapoenda kanisani kwny ibada,,,huwa anakujaga Mungu km alivyo kutoka mbinguni??? Si yule Kiongozi anaesimama mbele yako!! Na km unajua kuabudu kwann usikae nyumbani tuu.
Na kama uchungaji sio kazi,,je ww unaweza???? Wafanyao madhabahuni watakula vya madhabahuni imeandikwa
Imeadikwa hivyo na wajanja wa enzi hizo, kwa kizazi hiki mtakula pesa za watu maskini tu wenye stress ili muendelee kunywea bapa.
 
Huu ni upuuzi unaoweza kumwambia Mwafrika tu na kwa ujinga wake wapo wanaoamini ujinga huu.
Ndo maana wenzetu wazungu wanafanikiwa kwasbb;;
Wengi wao wanamalengo,,,,wanaratiba wanajua ipi ya kula na ipi ya kutumia. Lakn pia wengi wanatoa sana. Ww unafurahia pale anapokupa vitu,,kumbe mwenzako anakua amepanda mbegu
 
Back
Top Bottom