Wanachotaka ni wao wasikike lakini sio wapinzani

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,098
144,560
Hawa watu hawajiamini na wanafikiri maneno ndio yatawavusha na kuwapa kura mwaka 2020 kitu ambacho si kweli na wala hakipo.

Wanadhani kuwabana wapinzani ndio kufanikiwa ila watambue maneno hata kwenye kanga yamo.

Uzuri watu wanawasikia na wanaweka kumbukumbu hivyo wanasubiri utekelezaji. Kwenye sukari mlisema mengi ila leo yamewashinda na mmeamua kukaa kimya kwa aibu.

Nawambia subirini kusutwa maana maneno mazuri ni mengi kuliko vitendo mithili ya mwanaume anaetongoza mwanamke kwa maneno matamumatamu ili hali moyoni hana mapenzi nae kama ambavyo nyinyi hamna mapenzi na wata wenu zaidi ya kuwarubuni tu.

Ni ajabu pia kwa watu wanaosema siasa sasa basi lakini watu hao hao wakipata nafasi kwenye majukwaa wanapiga siasa na kutoa kejeli na vijembe kwa wapinzani!

The guy can talk the talk, but funny enough, can never walk the walk!
 
Hawa watu hawajiamini na wanafikiri maneno ndio yatawavusha na kuwapa kura mwaka 2020.

Wanadhani kuwabana wapinzani ndio kufanikiwa ila watambue maneno hata kwenye kanga yamo.

Uzuri watu wanawasikia na wanaweka kumbukumbu.
Hata iwe 2050 kwa upinzani huu CCM milele.
 
Kwa kilichitokea leo kinaimarisha zaidi upinzani kuliko kuubomoa, watu wanahitaji maisha bora siyo kelele za majukwaani tutakuja kuulizana zile ahadi na maisha bora waliyotuahidi yako wapi?, huwezi kuniambia maneno ya kanga Wakati mgonjwa wangu anakufa kwa kukosa dawa, unaimba kwenye majukwaa Wakati watu wana njaa utakuwa unapigua kelele
 
Kuna kitu chama changu kinaniangusha, hivi mpinzani wako akiwa dhaifu sana kuna haja ya kumuongelea? Real madrid inajiandaa kucheza na simba ianze kumsema na kumpiga vijembe simba? Hapana Nakataa kabisa hapa naona real madrid inacheza na barcelona! Nasema hivi kwa niliyoyasikia dodoma
 
Hawa watu hawajiamini na wanafikiri maneno ndio yatawavusha na kuwapa kura mwaka 2020 kitu ambacho si kweli na wala hakipo.

Wanadhani kuwabana wapinzani ndio kufanikiwa ila watambue maneno hata kwenye kanga yamo.

Uzuri watu wanawasikia na wanaweka kumbukumbu hivyo wanasubiri utekelezaji. Kwenye sukari mlisema mengi ila leo yamewashinda na mmeamua kukaa kimya kwa aibu.

Ni ajabu kwa watu wanaosema siasa sasa basi lakini watu hao hao wakipata nafasi kwenye majukwaa wanapiga siasa na kutoa kejeli na vijembe kwa wapinzani!

Some people can talk the talk, but funny enough, can never walk the walk!
Like you as well can very much talk the talk that u can never walk..

Ishi maneno yako.. weka unafiki pembeni..

Umekomaa na sukari wakati 98% ya tatizo la madawati tumeshalimaliza..
Bisha nikuitie Msigwa hapa akuthibitishie..

Mkiacha uzandiki na unafiki ipo siku kwenye siku za usoni tutavuka lengo na sukari unayoililia tutakugawia bure..
 
Mkuu nakuhakikishia ata uchaguzi ufanywe kesho alafu ukawa wasifanye kampeni ccm haishindi wananchi wameshasikia Na kuelewa sasa
Mlisema hivi mwaka 2010 mkarudia kusema tena mwaka 2015 ila bado wanashinda tuu duu badilisheni sera zenuu mkiacha kuwapiga vijembe fisiemu nakuelezea namna yakuwasaidia wananchii namkipewa madaraka msipo endekeza ulaji hakika mtashinda lakini mkileta mambo ya mzee yusuph na asha mashauzi looh mtaishia kwenye ubunge tu
 
Back
Top Bottom