Chifu Nsyepa
Senior Member
- Jul 9, 2016
- 106
- 98
Haya maneno ya "upinzani bado sana" tumekuwa tukiyasikia kwa karibu miaka 30 sasa, kinachoshangaza pamoja na kukosa kwao utayari lakini wanaongeza viti bungeni[emoji4][emoji4][emoji4]. Na kama ktk uchanga wao huu watawala wanawaogopa kwa kuwazuia wasiandamane wala wasikutane na wananchi ktk wingi wao je wakipevuka itakuwaje?Upinzani bado sana kwa hapa kwetu ndugu. Hawa tulionao ni wachumia tumbo tu na CCM itaendelea kuwepo sana. Mark my words. Upinzani si kutukana mkubwa wangu. Nakupa pole sana.