Wanachama wa UWABATA tukutane hapa kujadili mipango ya chama

Unamfahamu

Toya da body
Cherokee dass
Beauty Dior
Abigail lust
Jackiline boing boing
Cotton candi



Kama unamfahamu yeyote kati hawa itakua ume
 
Ndugu Mwenyekiti naomba kadi ya uanachama au ni chama Cha wanaume tu
kuhus kadi tunakufikiria ila inabid utoe sapoti ya kuwapinga wanawake wenzio wanaojali pesa badala ya mapenzi ya ukweli, pia upongeze juhud za wanaume ambao hatuhongi Bali tunasave for better future.
Karibu sana🤝🤝
 
Back
Top Bottom