Wanaaga halafu hawaondoki

Wanaaga halafu hawaondoki

[emoji23][emoji23][emoji23] ila JF ina heka heka, ko Shengesha ya Depal na Fake P imezalisha Njegeka mpya au niniii?? Mbona mabwakuuu. Lol
🤣 Anataka kuongelewa mara na yeye anamtaka CH etiii 😥

Sasa kuvaa kwenyewe kwa shida afu bonge nyanya wenzie kina D viportable atawaweza kubattle nao? 🤣

Halafu alivyo taahira anashinda pm za watu kusema wagombane na mimi. Hajui anaowapelekea maneno wananiambia kisha wanamchora huku.

We punguani usinilazimishie ugomvi na member humu pigana mwenyewe. Hao watu mimi sina kwere nao wanakuchora nyau wewe.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] nacheka km mazuriii, em puuza bhana, we sio wa kushiriki ndondo, level zako ni UEFA
🤣🤣 Kombe la mbuzi na watu wa bush nimesahau kitambo ila huyu mchimba chumvi wa shinyanga vijijini anaforce kweli nimlete town.

Watu tuko UEFA na boss wake yeye kunguru anatupigia kelele..
 
[emoji1787] Anataka kuongelewa mara na yeye anamtaka CH etiii [emoji26]

Sasa kuvaa kwenyewe kwa shida afu bonge nyanya wenzie kina D viportable atawaweza kubattle nao? [emoji1787]

Halafu alivyo taahira anashinda pm za watu kusema wagombane na mimi. Hajui anaowapelekea maneno wananiambia kisha wanamchora huku.

We punguani usinilazimishie ugomvi na member humu pigana mwenyewe. Hao watu mimi sina kwere nao wanakuchora nyau wewe.
Ila JF jamaniiii, kwanza imekuajeee hadi ifikie hivi? Shengesha ni ya Depal na Fake P, sasa wengine wanaingiaje?

Em uduguu acha kujibishana na mtu yoyote, tusubiri Depal na Fake P Watakapojisikia kubaruzana tushuhudie mtanange. Baas.

Ushavuka huko weyeee!!
 
Mi najua utani kumbe watu wanakasirika serious
labda awe mgeni alaf kama ni mtu wa kuzira Jf atalog out for a moment, akilog in bahati mbaya anazama kwa uzi za funny guys anacomment anapokelewa na mtu kama Mbaga Jr "asalamaleko", anatabasam na anazoea tu kama si kuenjoy !
 
[emoji1787][emoji1787] Kombe la mbuzi na watu wa bush nimesahau kitambo ila huyu mchimba chumvi wa shinyanga vijijini anaforce kweli nimlete town.

Watu tuko UEFA na boss wake yeye kunguru anatupigia kelele..
Mbona Boss wake, [emoji23][emoji23][emoji23]
Level zako ni Zumaridi, sio Makerubi wake bhanaa. Aaah.
Mbona unataka kuua brand uduguu?? Ntakubonda ujuee.

Hakuna kupeleka watu mjiniii, tunazima Zoteee, tunawasha shengesha ya Depal na Fake P.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tutafute pesa tuone vitu km passport na kupanda flight ni jambo la kawaida. Karne hii kupata bipolar disorder kisa ndege nao ni ujuha aiseee..!! Kuanza kuhisi watu wana maisha kama yako kisa wewe unashindwa kuafford top hata ya 15k mpya nayo ni huzuni.

Nwei, pole sana kwa kukupa msongo wa mawazo nimekuonea huruma. Nakupa offer Njoo kkoo uchukue top za 500k (Hii sio utani)

Nimeona malalamiko yako umepeleka kwa mods unalalamika nakusema una nguo kuukuu. 😥😭😭

Hata lepe la usingizi umekosa umelala na kuamkia JF 😭😭
Vayolensi loading!?
 
Ila JF jamaniiii, kwanza imekuajeee hadi ifikie hivi? Shengesha ni ya Depal na Fake P, sasa wengine wanaingiaje?

Em uduguu acha kujibishana na mtu yoyote, tusubiri Depal na Fake P Watakapojisikia kubaruzana tushuhudie mtanange. Baas.

Ushavuka huko weyeee!!
Na hao sisi ndo tunawataka yeye mchimba chumvi atupe nafasi kwanza hewa nzito. Jitu kubwa km Goliath linatupunja oksijeni.
 
Tutafute pesa tuone vitu km passport na kupanda flight ni jambo la kawaida. Karne hii kupata bipolar disorder kisa ndege nao ni ujuha aiseee..!! Kuanza kuhisi watu wana maisha kama yako kisa wewe unashindwa kuafford top hata ya 15k mpya nayo ni huzuni.

Nwei, pole sana kwa kukupa msongo wa mawazo nimekuonea huruma. Nakupa offer Njoo kkoo uchukue top za 500k (Hii sio utani)

Nimeona malalamiko yako umepeleka kwa mods unalalamika nakusema una nguo kuukuu. 😥😭😭

Hata lepe la usingizi umekosa umelala na kuamkia JF 😭😭
Dah nani huyu kapewa ofa? Kama hatokuja naomba nije mimi
 
Na hao sisi ndo tunawataka yeye mchimba chumvi atupe nafasi kwanza hewa nzito. Jitu kubwa km Goliath linatupunja oksijeni.
[emoji23][emoji23][emoji23] vawulensiii uduguu.
 
labda awe mgeni alaf kama ni mtu wa kuzira Jf atalog out for a moment, akilog in bahati mbaya anazama kwa uzi za funny guys anacomment anapokelewa na mtu kama Mbaga Jr "asalamaleko", anatabasam na anazoea tu kama si kuenjoy !
Ila wewe bana una point ujue.
Kwanini Mbaga? 🤣

Huyo ndo anawaentertain sana humu wapuuzi.
 
Back
Top Bottom