Wanaaga halafu hawaondoki

Wanaaga halafu hawaondoki

Usipeleke watu Mjinii uduguuu, zima kikii zotee, washa kupuuza.
🤣🤣🤣 Unajua nimeshangaa sana mtu anashangaa watu kupanda ndege karne hii.
Ndege kweli? Sasa hata 180k ya kwenda Zanzibar kwa ndege nayo anashindwa..!!

Huyu nishaachana naye maana nimemuonea huruma kumbe haja-heal na ile issue ya blauzi la buku bee mpk kukimbilia kwa mods.
 
Mitandao ina addiction. At some point mtu hua anaweza kujihisi yeye yupo kwenye spotlight ya mtandao husika, anaenjoy mentions, likes, quote n.k.

At some point tulipata member aliyekua na ids nyingi akaanzisha uzi kwa id moja kisha akawa anajichatisha yeye mwenyewe. Na kuna muda ids zikawa zinagombana. JF ilivyokua inamerge Ids na zile zenye kugombana zikaonekana ni za mtu mmoja.

Sasa app inaweza fanya ujihisi wewe ni muhimu kiasi kwamba unahisi bila wewe mambo hayaendi. Mshkaji mmoja alikua anaandika sana vitu vya kiroho akaanzisha uzi wa kuaga. Watu went like "Close the door behind you"

Mwana akarudi. Kwa upande wangu naona hii ni mental issue.
People are sick 🤦🏽‍♀️
 
C4BEE11A-1B01-4C30-B8B8-CC96204C805C.jpeg

Bbwwaahahaa na badooo🤣
 
Mshana Jr unaanzisha uzi mwinginie sangapi tutoe ya sumu maana kuna vijipu vikiguswa vinalipuka!🤣

Need to put some crazy bitchiz on line lolz, like a dumb mtf asss some mentally chaotic specie, needs exorcism coz peace avoids them lmfaoooooo!🤣

Unalalaje shoriii Binti wa zamani hebu amka uone bibi kuwashwa yameshamkuna kama kawaida🤭
1778224181329.gif
 
View attachment 3585513
Hivi kwanini zinatumika nyuzi za dad wangu 🥹
 
Unajua nimeshangaa sana mtu anashangaa watu kupanda ndege karne hii.
Ndege kweli? Sasa hata 180k ya kwenda Zanzibar kwa ndege nayo anashindwa..!!

Huyu nishaachana naye maana nimemuonea huruma kumbe haja-heal na ile issue ya blauzi la buku bee mpk kukimbilia kwa mods.
ila JF ina heka heka, ko Shengesha ya Depal na Fake P imezalisha Njegeka mpya au niniii?? Mbona mabwakuuu. Lol
 
Usicheke kuna vitu vya kuonea watu huruma.
Kumbe hata passport hana, hili siwezi kushangaa kwa ile blauzi ana haki ya kuona wengine wanafake. Sasa ofisini mtu anavaa matambara ya kudekia home inakuwaje??
nacheka km mazuriii, em puuza bhana, we sio wa kushiriki ndondo, level zako ni UEFA
 
Back
Top Bottom