Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 8,035
- 27,394
Huu ni ukorofi sasa 😁😁 lakini sio mbaya, unakuwaje mnyonge street na kidigitaliUsiwasahau na wale wanao check-in huku wanatupa taarifa! Cha ajabu wanareply huku wako angani na bado wanaiba picha za watu wenye pesa kwenye magari wanakuja kuturusha roho makapuku😞