Nilijua haitachukua muda kabla haijaku'cost!
Mke wa mtu na zurura na misele milango hii jamvini wakuache salama?
Hivi unaona hapa ni kama Makkah au Vaticano ? Wasela kwamba wameshiba andiko?
Haya chegama na Pussy kimburu .
Hapo ndio mwishoooooo
Mwanasheria kalala lakini..??
Au bado yuko macho..??
Judgement karibu MMU mada zako zinafaa sana kule
Kha,
msiri unataka kupindua Nchi?
Thubutu yake,
hana ubavu wa kuniimbisha mimi!
Namjua In Out!!
Domo lake Zege.
Ameshalala,sema basi.
Wewe una cheza na kifo
Mh..........mitego mingine bana,sasa ningeingia kichwakichwa si ndio ningekoma leo..
Wewe una cheza na kifo
Usijali.
aisee....hii njia Judgement kwa sie wakongwe tunaifahamu sana na kama ulivosema huwa inakuwepo automatikale kama kweli you know what u r doing
Ila sasa wengine ndio hivyo kama hajakupenda na yeye hata ufanyeje you will be put into trash. One thing am happy ni kwamba on my side it has been very rewarding I cant complain, but truth be told, kuna wengine ndio hivyo hawaangalii la mwadhini wala mnadi swala wanakudump tu!
This is a two way traffic, japo si under mine role ya kujali nk.!
Mtakatifu Nyau leo mashambulizi maaapemaaa!
Hivi unaikumbuka ile semi ,
"akumulikae mchana usiku ana...."
Nimekusoma vizuri but hivi Kaizer unaweza ukaniambia nini ili nikubali kwamba under the planet kuna mwanamke mjanja kumzidi mwanaume?
Mimi niko ktk wanaoamini kua mwanaume akiamua kumpata mwanamke yeyote ambae hayuko ktk couple possibility kumpata ni 95% hizo 5% naziacha probably huenda mwanaume akawa ana seduce mwanamke mchizi ukaona haelewi somo kumbe mtambo.
Umeongea maneno machache bt yamebeba muktadha mzito! Naweza kutunga vitabu viwili au vi3 nikidondoa points zako.
St. Paka Mweusi ndo maana Madame B anakuzingua...Back to Topic,mkuu Judgement mbona mi sina mvuto wala pesa,
kuwasifia sijui na maneno matamu kwangu ni msamiati ambao
haujawahi kuandikwa lakini we...........