Wana wa kiume mpoo ? Mmejipangaje ki-MVUTO ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wana wa kiume mpoo ? Mmejipangaje ki-MVUTO ?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Judgement, Sep 20, 2012.

 1. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #1
  Sep 20, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Wanaume wengi tumekua tukijidanganya kua kama hauna mvuto kwa maana ya uzuri wa asili, basi huna thamani mbele ya wanawake, that's so wrong! .

  Mvuto asili ni vionjo tu, vinavyomfanya mwanamke akutamani na sio kukupenda.
  Kwani ni wanaume wangapi wenye mvuto wameishia kuangukia kwenye mikono ya wanawake wabaya wasio na mvuto unaoufikiria wewe?

  Ieleweke kua hakunaga binadamu m'baya duniani , takriban wote tu wazuri kwa dhana ya kuumbwa binadamu, na ndiyo ktk uzuri huo sasa ndipo tofauti ya kuzidiana viwango vya mvuto na uzuri huanzia .

  Wapo wazuri kiasi, wapo wa kawaida, na wapo wazuri saaaaana! .
  Epuka kujishusha kwa kudhani huna mvuto! Inferiority. Wewe mwana wa kiume fahamu unavyoweza kua mmoja wa most desired man .
  Wazungu wanasema
  "Nothing is more desirable to woman than a man who's passionate goal oriented seductive and valuable, there's something hot about a passionate man that makes every woman melt .

  TRIGGER HER EMOTIONS
  Wanawake wengi wametawaliwa na hisia.
  Husussan ktk suala zima la mapenzi , hivyo wanaongozwa sana na hisia , huo ndiyo ukweli wenyewe!

  Kikubwa unachotakiwa kufanya wewe mwanaume ni kuteka hisia za mwanamke, na hii haihitaji kwenda shule au chuo kusoma ni vipi uteke hisia zao.
  Kuna mif. Michache hapa mikuu namna ya kuteka hisia hizo.
  -- Onesha unamjali katika yeye kwa kadri anavyotaka yeye kujaliwa.
  -- Ktk kila anachokua anakueleza onesha respond ya umakini kumskiza, hata kama issue ni ya kipumbavu usionenye kum'ignore.
  --- Maneno kama POLE
  NAKUPENDA
  UNANIFURAHISHA
  UMEPENDEZA
  UNA AKILI WEWEE UNANISISIMUA WEWEE
  with related matter hua chachu ya kufanikisha zoezi husika.
  Aidha pia ujue neno lipi lafaa wapi kati ya hayo kufuatana eneo na wapi na muda .
  Sio mko msibani amefiwa na mtu anaemhusu unamwambia UNANISISIMUAGA WEWE ! na hivi na vile viashirio vya ngono!
  How that can happen?
  This's the biggest secret art that can make you a desired man for woman.
   
 2. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #2
  Sep 20, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,834
  Trophy Points: 280
  Hiii ni nzuri na inge faa zaidi kule MMU.

  Nimeipenda
   
 3. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #3
  Sep 20, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Poa poa Loya!
  Bt mie huko maemuyu niko mgeni !
  Napitaga tu! Sijazoena na mamtu ya huko! Eventhough tuko jirani .
   
 4. kapistrano

  kapistrano JF-Expert Member

  #4
  Sep 20, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,204
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Ipo poa sana Keep it up!
   
 5. Arabela

  Arabela JF-Expert Member

  #5
  Sep 20, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 3,253
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Dah jg nimeipenda sana. Big up
   
 6. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #6
  Sep 20, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  na sisi players inatuhuu?
   
 7. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #7
  Sep 21, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Thanks Arabela.
   
 8. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #8
  Sep 21, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Tena ndo haswaaa! Nimepigia mulemule !
   
 9. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #9
  Sep 21, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,895
  Likes Received: 4,749
  Trophy Points: 280
  Nimepata kikitu hapa. Thanks JG
   
 10. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #10
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Pesa ndo Mpango Mzima Jdgmnt,
  Mvuto hata Kaka yangu anao.
   
 11. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #11
  Sep 21, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Msiri wangu nishauri basi,mbona mi sina pesa wala mvuto.....
  Na naomba uongee polepole ruttashobolwa asisikie.........
   
 12. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #12
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Hebu nyoosha kiswahili chako.
  Sema Usikike.
  Eboo!!
   
 13. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #13
  Sep 21, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145

  Hapo ndio mwishoooooo
  Mwanasheria kalala lakini..??
  Au bado yuko macho..??
   
 14. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #14
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Leo yuko Night shift,hvyo niko Alone.
  Mbona unazunguka hvo?
  Sema unachotaka kusema.
  Me nishakijua!!
   
 15. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #15
  Sep 21, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Ni wewe na yako roho mkuu Ipy ! Fanyia kazi .
   
 16. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #16
  Sep 21, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Pesa hata Elton John anazo za kutapisha but wanamla kiboga kwa kwenda mbele .
  Wasio nazo ndo wanamkula mshono!
   
 17. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #17
  Sep 21, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Nilijua haitachukua muda kabla haijaku'cost!
  Mke wa mtu na zurura na misele milango hii jamvini wakuache salama?
  Hivi unaona hapa ni kama Makkah au Vaticano ? Wasela kwamba wameshiba andiko?
  Haya chegama na Pussy kimburu .
   
 18. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #18
  Sep 21, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145

  Ntakwambia baadaye sasa hivi naona aibu Judgment anatusikiliza...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #19
  Sep 21, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145

  Polepole basi mkuu,usinipeperushie ndege wanguu..........
   
 20. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #20
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Kha,
  msiri unataka kupindua Nchi?
   
Loading...