Wana wa kiume mpoo ? Mmejipangaje ki-MVUTO ?

Nilijua haitachukua muda kabla haijaku'cost!
Mke wa mtu na zurura na misele milango hii jamvini wakuache salama?
Hivi unaona hapa ni kama Makkah au Vaticano ? Wasela kwamba wameshiba andiko?
Haya chegama na Pussy kimburu .

Thubutu yake,
hana ubavu wa kuniimbisha mimi!
Namjua In Out!!
Domo lake Zege.
 
Judgement karibu MMU mada zako zinafaa sana kule

Senkyuu BT ! Nakumbuka zamani haikua nimeikamilisha siku sijaandika "BT " nway not bad as well i thought a wind changed course it's ordinary!
Nimepokea advice yako, but Mmu japo ni too neighbour with Cc bt hua sina mazoea napo kiivile ! Ngoja nianze kujakuja sasa.
 
Last edited by a moderator:
aisee....hii njia Judgement kwa sie wakongwe tunaifahamu sana na kama ulivosema huwa inakuwepo automatikale kama kweli you know what u r doing

Ila sasa wengine ndio hivyo kama hajakupenda na yeye hata ufanyeje you will be put into trash. One thing am happy ni kwamba on my side it has been very rewarding I cant complain, but truth be told, kuna wengine ndio hivyo hawaangalii la mwadhini wala mnadi swala wanakudump tu!

This is a two way traffic, japo si under mine role ya kujali nk.!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mvuto wa mtu unatokana na usafi,ucheshi na uvaaji wake halafu pia kujiamini
 
Nimekusoma vizuri but hivi Kaizer unaweza ukaniambia nini ili nikubali kwamba under the planet kuna mwanamke mjanja kumzidi mwanaume?
Mimi niko ktk wanaoamini kua mwanaume akiamua kumpata mwanamke yeyote ambae hayuko ktk couple possibility kumpata ni 95% hizo 5% naziacha probably huenda mwanaume akawa ana seduce mwanamke mchizi ukaona haelewi somo kumbe mtambo.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mvuto wa mtu unatokana na usafi,ucheshi na uvaaji wake halafu pia kujiamini

Umeongea maneno machache bt yamebeba muktadha mzito! Naweza kutunga vitabu viwili au vi3 nikidondoa points zako.
 
Mtakatifu Nyau leo mashambulizi maaapemaaa!
Hivi unaikumbuka ile semi ,
"akumulikae mchana usiku ana...."

Mkuu si unajua mwenyewe kuwa mwendo wetu ni vitendo bila kuchelewa.....
Ukizingatia mida hii mwanasheria yupo mahakamani anahangaika kuokoa wahalifu...
 
Back to Topic,mkuu Judgement mbona mi sina mvuto wala pesa,
kuwasifia sijui na maneno matamu kwangu ni msamiati ambao
haujawahi kuandikwa lakini we...........
 
Nimekusoma vizuri but hivi Kaizer unaweza ukaniambia nini ili nikubali kwamba under the planet kuna mwanamke mjanja kumzidi mwanaume?
Mimi niko ktk wanaoamini kua mwanaume akiamua kumpata mwanamke yeyote ambae hayuko ktk couple possibility kumpata ni 95% hizo 5% naziacha probably huenda mwanaume akawa ana seduce mwanamke mchizi ukaona haelewi somo kumbe mtambo.

hahahah Judgement kuna wanawake machizi wengi kuliko unavofikiria so hiyo probability yako inabidi kuiadjust kidogo!

Kitu kimoja tu ambacho hiyo probability ya 95% kwa 5% inawork ni pesa bhaaaaaaaaaaaaaaaaas. haiuzwi kwa walio na umri chini ya miezi miwili!
 
Last edited by a moderator:
Umeongea maneno machache bt yamebeba muktadha mzito! Naweza kutunga vitabu viwili au vi3 nikidondoa points zako.

mfano kule vijijini kuna girls ambao hawana mvuto,but wakija kuingia mjini baadaye huwezi kuamini macho yako,
wanabadilika kila sekta,mazingira hasa usafi ndo unamfanya mtu awe na mvuto,kwanza mtu akiwa msafi
anavutia sana
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom