Ndugu wana UKAWA, tunakumbuka mheshimiwa Jk alisema wanazijiua mbinu?? Sasa basi Nimeota moja ya mbinu watakazotumia ni kutengeneza watu watakao jivika vazi la UKAWA na kuanza kuwapa watu pesa eti wampigie kura Mgombea uraisi kupitia umoja wa wanchi UKAWA!!! Pia wapo watu feki watakao jitokeza na kusema sisi tumehongwa..jamani tuweni makini na hata mtanzania mmoja asiyapuuzie maono haya.
Swali moja tu la kujiuliza kabla hawajafanya huu ujanja wao ni kwamba... Hivi kweli UKAWA tanahitaji kumuhonga mtanzania yeyote kumpigia mheshimiwa sana Edward Ngoyai Lowasa kura????
Tafakari chukua tahadhari