Wana UKAWA tumsikilize Mh lowasa Azam tv

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
122,420
95,845
Wana bodi hasa wana wa ukawa tujipange vema ili ifikapo siku ya jumapili saa 3 asubuhi tumsikilize kiongozi wetu wa mioyo ya mamilioni ya watanzania mh Edward Ngoyai Lowasa wakati atakapo kuwa anafanya mazungumzo na Tido mhando.Huyo ndiye kipenzi cha mamilioni ya watanzania
 
"Kila mmoja afanye siasa kwenye eneo alilochaguliwa,Kingu mbunge wa ikungi magharibi afanye mikutano palepale kwake alipoahidi shughuli za maendeleo,Mbowe afanye siasa palepale hai alipochaguliwa na kuahidi kuwapa maendeleo,kila mmoja aliyechaguliwa afanye siasa eneo lake.Sitaki kuona mtu anatoka HAI anakwenda KAHAMA kufanya mikutano n.k Mbunge au Diwani wa HAI au Mbeya anamamlaka ya kuingia kwenye vikao vya maendeleo ndani ya majimbo yao,huwezi kuwa Mbunge wa Ubungo vikao vya maendeleo ukafanyie Tarime.

Mimi (Rais) pekee ndiye natakiwa kuzunguka nchi nzima kila jimbo kufikisha maendeleo niliyowaahidi watanzania wote.

Wanaotaka kuandamana au kufanya mikutano kiholela kwanini wanasubiri mwezi wa 9?Wafanye mikutano hata leo ili wajue mimi ni nani.Siwezi kugeuza hii nchi ya siasa,nataka nchi ya maendeleo tu.
Siasa zilishakwisha wakati wa KAMPENI,muda huu ni KAZI TU."

JPM
SINGIDA leo
29.07.2016
 
Kwa kuwa Ngoyai hana Jimbo la Uchaguzi haruhusiwi kuhutubia jukwaa lolote zaidi ya kwny Mitandao na TV mpaka 2020. Mtu pekee anaeruhusiwa kupanda kwny jukwaa la kisiasa Tz nzima ni mmoja tu Dr.Pombe, wengine watahutubia kwny majimbo au kata walizochaguliwa tu na si vinginevyo na kama huna jimbo au kata utaishia interview za kina Tido tu
 
Ina maana huyo JPM hajui kuwa mbunge wa Hai ni mwenyekiti wa taifa wa CHADEMA na ni KUB?

Au ndio ile kauli kuwa kama unakiogopa kivuli chako na unataka kukiondoa kivuli basi zima jua!
 
..tamko la Raisi halipo kisheria.

..anatakiwa kumuagiza waziri wa sheria na katiba kupeleka mswada bungeni utakaokataza wabunge kufanya mikutano ya hadhara mahali ambapo hawakuchaguliwa.

..ccm ina wabunge wa kutosha kupitisha mswada huo kuwa sheria.
 
Muulize Lubuva atakwambia habari za Lowassa
 
Ina maana huyo JPM hajui kuwa mbunge wa Hai ni mwenyekiti wa taifa wa CHADEMA na ni KUB?

Au ndio ile kauli kuwa kama unakiogopa kivuli chako na unataka kukiondoa kivuli basi zima jua!
Watawala wa tanzania sasa wanaogopa vivuli vyao tu na hiyo ni mshahara wa dhambi waliyofanya kwenye matokeo ya kura za ukawa mwaka jana
 
..tamko la Raisi halipo kisheria.

..anatakiwa kumuagiza waziri wa sheria na katiba kupeleka mswada bungeni utakaokataza wabunge kufanya mikutano ya hadhara mahali ambapo hawakuchaguliwa.

..ccm ina wabunge wa kutosha kupitisha mswada huo kuwa sheria.
Kwa jinsi wanavyosomeshwa hii namba naamini hata wao hawatakuwa tayari kumuunga mkono wote kwani kuna wengine itabidi wajitolee kukatwa mikia
 
"Kila mmoja afanye siasa kwenye eneo alilochaguliwa,Kingu mbunge wa ikungi magharibi afanye mikutano palepale kwake alipoahidi shughuli za maendeleo,Mbowe afanye siasa palepale hai alipochaguliwa na kuahidi kuwapa maendeleo,kila mmoja aliyechaguliwa afanye siasa eneo lake.Sitaki kuona mtu anatoka HAI anakwenda KAHAMA kufanya mikutano n.k Mbunge au Diwani wa HAI au Mbeya anamamlaka ya kuingia kwenye vikao vya maendeleo ndani ya majimbo yao,huwezi kuwa Mbunge wa Ubungo vikao vya maendeleo ukafanyie Tarime.

Mimi (Rais) pekee ndiye natakiwa kuzunguka nchi nzima kila jimbo kufikisha maendeleo niliyowaahidi watanzania wote.

Wanaotaka kuandamana au kufanya mikutano kiholela kwanini wanasubiri mwezi wa 9?Wafanye mikutano hata leo ili wajue mimi ni nani.Siwezi kugeuza hii nchi ya siasa,nataka nchi ya maendeleo tu.
Siasa zilishakwisha wakati wa KAMPENI,muda huu ni KAZI TU."

JPM
SINGIDA leo
29.07.2016
It would seem our honourable president does not know the meaning of politics.
 
Lowasa ndiye chaguo la mamilioni ya watanzania
 
Jiongeze hata kama unatumikia buku 2 lkn bado unatakiwa kuwa na huruma kwa watanzania walio chagua upinzani
Kuwa na huruma ndio
1) kuandamana safari za nje za watumishi wa umma zirejeshwe?
2) kuwa na huruma ndo kupigania mafisadi wasishtakiwe
3) kuwa na huruma ndio kuacha kuzungumzia ufisadi?

Mnatakiwa mjue Huu utawala hautaki mchezo mchezo JPM kishasema kama ishu ni Ukuta mkashikishane HAI nje ya jimbo lako ukiongelea mambo ya Ukuta ni kisago tu

Mnatakiwa muelewe kuwa Jakaya si Rais tena wa Tanzania
 
Wana bodi hasa wana wa ukawa tujipange vema ili ifikapo siku ya jumapili saa 3 asubuhi tumsikilize kiongozi wetu wa mioyo ya mamilioni ya watanzania mh Edward Ngoyai Lowasa wakati atakapo kuwa anafanya mazungumzo na Tido mhando.Huyo ndiye kipenzi cha mamilioni ya watanzania
Ni kipenzi cha mabilioni ya WaTZ
 
Kuwa na huruma ndio
1) kuandamana safari za nje za watumishi wa umma zirejeshwe?
2) kuwa na huruma ndo kupigania mafisadi wasishtakiwe
3) kuwa na huruma ndio kuacha kuzungumzia ufisadi?

Mnatakiwa mjue Huu utawala hautaki mchezo mchezo JPM kishasema kama ishu ni Ukuta mkashikishane HAI nje ya jimbo lako ukiongelea mambo ya Ukuta ni kisago tu
1:serikali ishushe bei ya sukari kurudi sh 1800 iliyo ikuta kabla ya kuingia madarakani
2:uhuru wa wabunge wa upinzani urudishwe
3:vyama vya upinzani viwachwe vifanye mikutano kwa afya ya siasa za vyama vingi
4:kuwashitaki waliotumbuliwa mbele ya vyombo vya habari na kuwarudisha kazini gizani
5:
 
Siku hizi vita dhidi ya ufisadi vimeisha mbona mmekuwa wazito sana kuzungumza ufisadi?
Tamko lenu la juzi lina maazimio zaidi ya 11 lakini hakuna sehemu hata moja mmezungumzia ufisadi!
 
Back
Top Bottom