Wana UKAWA tumsikilize Mh lowasa Azam tv

Wana UKAWA tumsikilize Mh lowasa Azam tv

Tunasubiri kwA hamu tumsikilize lowasa,lazima amwage madini....
 
Hii nchi kila kitu ni siasa watu awawazi maendereo.tutafika lini uko waliko wenzetu walioshajitambua kwenye siasa .ndo maana Africa limekua bara la vita kwa viongoz wake kupenda porojo kuliko matendo,emu tujenge utamaduni wetu ili tufike mbali .
Na wabongo nawanavyojua kukoleza eti lowasa ni kipenzi cha wengi watanzania nani anauakika na hii kauli zaiid ya watanzania wengi kufata mikumbo ya kisiasa. Chukueni hatua kwa kujitambua
 
Hivi kweli watanzania tunadhindwa kupaza sauti hata kwa hashtag na kutag viongozi wakubwa duniani, vyombo vya habari n.k? Hii haikubaliki
 
Siku hizi vita dhidi ya ufisadi vimeisha mbona mmekuwa wazito sana kuzungumza ufisadi?
Tamko lenu la juzi lina maazimio zaidi ya 11 lakini hakuna sehemu hata moja mmezungumzia ufisadi!
WANA UKAWA WOOTE TUJIANDAE KUMSIKIKIZA KIONGOZI NA KIPENZI CHA MAMILIONI YA WA TANZANIA MH EDWARD NGOYAI LOWASA
1469820148282.jpg
 
"Kila mmoja afanye siasa kwenye eneo alilochaguliwa,Kingu mbunge wa ikungi magharibi afanye mikutano palepale kwake alipoahidi shughuli za maendeleo,Mbowe afanye siasa palepale hai alipochaguliwa na kuahidi kuwapa maendeleo,kila mmoja aliyechaguliwa afanye siasa eneo lake.Sitaki kuona mtu anatoka HAI anakwenda KAHAMA kufanya mikutano n.k Mbunge au Diwani wa HAI au Mbeya anamamlaka ya kuingia kwenye vikao vya maendeleo ndani ya majimbo yao,huwezi kuwa Mbunge wa Ubungo vikao vya maendeleo ukafanyie Tarime.

Mimi (Rais) pekee ndiye natakiwa kuzunguka nchi nzima kila jimbo kufikisha maendeleo niliyowaahidi watanzania wote.

Wanaotaka kuandamana au kufanya mikutano kiholela kwanini wanasubiri mwezi wa 9?Wafanye mikutano hata leo ili wajue mimi ni nani.Siwezi kugeuza hii nchi ya siasa,nataka nchi ya maendeleo tu.
Siasa zilishakwisha wakati wa KAMPENI,muda huu ni KAZI TU."

JPM
SINGIDA leo
29.07.2016
OK then Lowassa alichaguliwa na watanzania milioni sita across the country, ni muda wake sasa awazungukie naye ili awashukuru, si ndiyo mkuu?
 
OK then Lowassa alichaguliwa na watanzania milioni sita across the country, ni muda wake sasa awazungukie naye ili awashukuru, si ndiyo mkuu?
Hilo kwa watawala wanaliona ni moja wapo ya pigo kwao maana lowasa ndiye anayekubalika sana
 
Ina maana huyo JPM hajui kuwa mbunge wa Hai ni mwenyekiti wa taifa wa CHADEMA na ni KUB?

Au ndio ile kauli kuwa kama unakiogopa kivuli chako na unataka kukiondoa kivuli basi zima jua!
Ni mwenyekiti wa vikao vya kitaifa vya CHADEMA. Vikao vya CHADEMA ngazi ya vijiji/ mitaa vina wenyeviti wake.
Huo u KUB wake uko bungeni tu na siyo Kahama wala Hai.

Hizo ndiyo taratibu za demokrasia ya vyama vya siasa dunia nzima. Msiige vyama vya ukombozi kama vya al shabah, hatuna ajenda ya kukombolewa sisi. Tuna ajenda ya maendeleo tu na kutatua vikero vyetu. Wengine wagumu sana kuelewa lakini mtaelewa tu hata kama ni baada ya kulala lupango.
 
Hauko sahihi.

Hata Mwalimu asingeruhusiwa kuzunguka Tanganyika nzima kuieneza TANU ati kwa kuwa hakuwa madarakani basi tusingepata uhuru. Ndio gharama ya demokrasia hiyo. Moja ya majukimu yake Mbowe ni kukieneza chama unless sheria imebadilishwa kwamba CHADEMA ni chama cha Hai tu. Haya yanayofanywa na CCM sasa ndiyo waliyokuwa wanauapigia kelele Sputh Africa Angola Mozambique Rhodesia Uganda etc nk.
Leo mmeyasahau?
 
..tamko la Raisi halipo kisheria.

..anatakiwa kumuagiza waziri wa sheria na katiba kupeleka mswada bungeni utakaokataza wabunge kufanya mikutano ya hadhara mahali ambapo hawakuchaguliwa.

..ccm ina wabunge wa kutosha kupitisha mswada huo kuwa sheria.
Rais kishakujibu " Kama wanabisha waanze leo hii niwaoneshe kazi wasisubiri September"
 
Wana bodi hasa wana wa ukawa tujipange vema ili ifikapo siku ya jumapili saa 3 asubuhi tumsikilize kiongozi wetu wa mioyo ya mamilioni ya watanzania mh Edward Ngoyai Lowasa wakati atakapo kuwa anafanya mazungumzo na Tido mhando.Huyo ndiye kipenzi cha mamilioni ya watanzania
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Siku hizi vita dhidi ya ufisadi vimeisha mbona mmekuwa wazito sana kuzungumza ufisadi?
Tamko lenu la juzi lina maazimio zaidi ya 11 lakini hakuna sehemu hata moja mmezungumzia ufisadi!

sure kama sakata last LUGUMI eeeh
 
"Kila mmoja afanye siasa kwenye eneo alilochaguliwa,Kingu mbunge wa ikungi magharibi afanye mikutano palepale kwake alipoahidi shughuli za maendeleo,Mbowe afanye siasa palepale hai alipochaguliwa na kuahidi kuwapa maendeleo,kila mmoja aliyechaguliwa afanye siasa eneo lake.Sitaki kuona mtu anatoka HAI anakwenda KAHAMA kufanya mikutano n.k Mbunge au Diwani wa HAI au Mbeya anamamlaka ya kuingia kwenye vikao vya maendeleo ndani ya majimbo yao,huwezi kuwa Mbunge wa Ubungo vikao vya maendeleo ukafanyie Tarime.

Mimi (Rais) pekee ndiye natakiwa kuzunguka nchi nzima kila jimbo kufikisha maendeleo niliyowaahidi watanzania wote.

Wanaotaka kuandamana au kufanya mikutano kiholela kwanini wanasubiri mwezi wa 9?Wafanye mikutano hata leo ili wajue mimi ni nani.Siwezi kugeuza hii nchi ya siasa,nataka nchi ya maendeleo tu.
Siasa zilishakwisha wakati wa KAMPENI,muda huu ni KAZI TU."

JPM
SINGIDA leo
29.07.2016
Kama angekuwa na nguvu hiyo Kwani sukari ni shi ngp!??? Pyuuuuuuu
 
Back
Top Bottom