Ni kipenzi cha mabilioni ya WaTZ
Ni kipenzi cha mabilioni ya WaTZ
Rais kishakujibu " Kama wanabisha waanze leo hii niwaoneshe kazi wasisubiri September"
Vipi utajitokeza kwenye maandamano au wewe unaandamania humu humu JF.Wana bodi hasa wana wa ukawa tujipange vema ili ifikapo siku ya jumapili saa 3 asubuhi tumsikilize kiongozi wetu wa mioyo ya mamilioni ya watanzania mh Edward Ngoyai Lowasa wakati atakapo kuwa anafanya mazungumzo na Tido mhando.Huyo ndiye kipenzi cha mamilioni ya watanzania
Wewe andamana ndo utajua atakuja kukuzuia Magu mwenyewe au atatuma Polisi...Raisi ameteleza.
..eti " niwaonyeshe kazi."!!
..kwani anakwenda kupambana nao au anatuma POLISI?
..mambo haya hayahitaji HASIRA na MABAVU.
Wewe andamana ndo utajua atakuja kukuzuia Magu mwenyewe au atatuma Polisi.
Ukawa bado ipo?Wana bodi hasa wana wa ukawa tujipange vema ili ifikapo siku ya jumapili saa 3 asubuhi tumsikilize kiongozi wetu wa mioyo ya mamilioni ya watanzania mh Edward Ngoyai Lowasa wakati atakapo kuwa anafanya mazungumzo na Tido mhando.Huyo ndiye kipenzi cha mamilioni ya watanzania
Lowasa unsmkubali wewe na familia yako tu, hata Mbowe amemstukia ![emoji9]Hilo kwa watawala wanaliona ni moja wapo ya pigo kwao maana lowasa ndiye anayekubalika sana
Huyo HAMNA kitu kichwani kuhusu siasa,arudi tu kwneye kazi yake ya dr of medicineDr Mashinji live Channel ten now
Rais wetu asipoangalia ataligawa taifa hili vipande vipande, hata huko kwenye zenye waasi walianza hivi hivi kunyimwa Uhuru. Wakaingia msituni. Naomba Mungu tusielekee huko jamaniKUNA HATARI YA CHAMA CHA SIASA KUGEUKA WAASI ASEE,
MUNGU WANGU MSTIKABARI WA TAIFA LANGU NI UPIIII????? HIVI HAWA WAROHO WA MADARAKA WANATAKA NA SISI TUANZE KUWA WAKIMBIZI????
MI NI KIJANA NTAKIMBIA NA MUNGU AKIJARIA NTAFANIKIWA KUKIMBIA, VIPI MAMA YANGU, BIBI YANGU, MZEE WANGU WADOGO ZANGU WASIO NA UWEZO WA KUKIMBIA???
HAKIKA KATIKA MAOMBI NACHURUZIKA MACHOZI YA DAMU
Hapa mi naona kati ya watu wenye wasiofadhirika watanzania tunaongoza, hivi ni inchi gani duniani ambayo baada ya uchaguzi kampeni zinaendelea???????Rais wetu asipoangalia ataligawa taifa hili vipande vipande, hata huko kwenye zenye waasi walianza hivi hivi kunyimwa Uhuru. Wakaingia msituni. Naomba Mungu tusielekee huko jamani
Tunao mafisadi mabilioni Tanzania? Fisadi atakuwaje kipenzi cha Watanzania?Ni kipenzi cha mabilioni ya WaTZ
Kama wewe ulivyoanzisha huu uzi alafu unaijaza kwa kucomment wewe mwenyewe, bavicha naona shughuli ya kushika UKUTA inawatoa jasho, ila ndo mmeichagua wenyewe hamna budi.Sasa hivi anakimbia kivuli chake