Wana UKAWA tumsikilize Mh lowasa Azam tv

Wana UKAWA tumsikilize Mh lowasa Azam tv

Kama wewe ulivyoanzisha huu uzi alafu unaijaza kwa kucomment wewe mwenyewe, bavicha naona shughuli ya kushika UKUTA inawatoa jasho, ila ndo mmeichagua wenyewe hamna budi.
Mimi nina uwezo wa kukutuma na kukulipa kwa miaka hata kumi wee na ukoo wako wote wa wakatwa mikia
 
Mimi nina uwezo wa kukutuma na kukulipa kwa miaka hata kumi wee na ukoo wako wote wa wakatwa mikia
Maelezo yako ni dalili tosha kuwa UKUTA na kilainishi vimekunogea, endelea kushika UKUTA mkuu, umechagua mwenyewe!
 
Rais kishakujibu " Kama wanabisha waanze leo hii niwaoneshe kazi wasisubiri September"
Ukawa wanafanya mambo yao kwa mpango na siyo kukurupuka hivyo endeleeni kuifanyia promo hiyo ukuta chezea cdm wewe!
 
Kama angekuwa na nguvu hiyo Kwani sukari ni shi ngp!??? Pyuuuuuuu
Yaani utawala huu wa magufuli umetufanya watanzania kuwa na maisha magumu, sukari leo hii imekuwa ni anasa
 
..Raisi ameteleza.

..eti " niwaonyeshe kazi."!!

..kwani anakwenda kupambana nao au anatuma POLISI?

..mambo haya hayahitaji HASIRA na MABAVU.
Anadhani ataishi milele kwenye huo urais kumbe ni miaka 5 tu
 
"Kila mmoja afanye siasa kwenye eneo alilochaguliwa,Kingu mbunge wa ikungi magharibi afanye mikutano palepale kwake alipoahidi shughuli za maendeleo,Mbowe afanye siasa palepale hai alipochaguliwa na kuahidi kuwapa maendeleo,kila mmoja aliyechaguliwa afanye siasa eneo lake.Sitaki kuona mtu anatoka HAI anakwenda KAHAMA kufanya mikutano n.k Mbunge au Diwani wa HAI au Mbeya anamamlaka ya kuingia kwenye vikao vya maendeleo ndani ya majimbo yao,huwezi kuwa Mbunge wa Ubungo vikao vya maendeleo ukafanyie Tarime.

Mimi (Rais) pekee ndiye natakiwa kuzunguka nchi nzima kila jimbo kufikisha maendeleo niliyowaahidi watanzania wote.

Wanaotaka kuandamana au kufanya mikutano kiholela kwanini wanasubiri mwezi wa 9?Wafanye mikutano hata leo ili wajue mimi ni nani.Siwezi kugeuza hii nchi ya siasa,nataka nchi ya maendeleo tu.
Siasa zilishakwisha wakati wa KAMPENI,muda huu ni KAZI TU."

JPM
SINGIDA leo
29.07.2016
Naona tumeingia kwenye maajabu ya siasa. Democratic dispension according to JPM. Tunajua polisi wanasimama wapi, tunajua Mutungi anasimama wapi, ni vizuri tujue pia mahakama inasimama wapi?
 
Vipi utajitokeza kwenye maandamano au wewe unaandamania humu humu JF.
Kwa sasa upinzani tunatumia sayansi zaidi kuiwajibisha serikali, mfano ni hiyo hotuba ya magufuli ya jana na jinsi bavicha walivyo lishurutisha polisi dodoma kuonyesha kila aina ya silaha kisa tamko la bavicha wakati bavicha wenyewe wako ufipa wanacheza draft
 
Lowasa unsmkubali wewe na familia yako tu, hata Mbowe amemstukia ![emoji9]
Kamuulize Lubuva atakwambia lowasa ni nani kwenye siasa za Tanzania
 
Nafikiri tunamuendekeza sana JPM hui ujinga atazidi kama hatuta chukua hatua
 
Back
Top Bottom