Kawaida! hamuwezi kwenda kwny kila harusi, unless mnagawana harusi za kwenda! mtakwenda pamoja kwny event special!
Kifupi, Nikija na wife kwny harusi yako! ujue tumeshibana sana, otherwise nakupa mchango tu, ukiwa swahiba kidogo nakuja mwnyw halafu nawahi kuondoka, au namtuma wife aje na wahi kuondoka (Yaani anakuja kuonekana tu na kusepa)