Wana MMU pombe itaniachanisha na mpenzi

Wana MMU pombe itaniachanisha na mpenzi

Duu! mbona kama una hasira. Umeleta mwenyewe matatizo yako jamvini. Ulitakaje nikusifie.
sorry oooooooh chineke.

Sina hasira ila I can't help it Mtu akiniita mlevi at awe NANI,it's simply doesn't go with my persona
 
pole sana mkuu, anza kidogo kidogo kwa kupunguza kisha kuacha kabisa kutumia drugs, maana ni aibu kwako, kwa mke, watoto, familia na hata kazi. ukishaweza hilo njoo kwenye pombe, kidogo kidogo utafika, tena kama hunywi kupindukia had kuwa chakari ndio inakua kazi rahisi zaidi. Kila la heri mkuu

Thank you sir that calms my nerves
 
wape wape mzee Replies wanataka kukuchokonoa hao wape vpande vyao......

Ngoja na mm nikajidunge serenget zangu tatu halafu nikusaidie kuwasha moto

Jf hadi raha, kama una-stress kuja Jf mambo swaaaaaafi. Nipo sehemu napata castle lager nimecheka pekee yangu. Maana jamaa kisha pata mbili tatu halafu watu wanamletea za kuleta, sasa nawewe ukiongeza nguvu hapo lazimu watu waukimbie uzi, chezea POVU aka MZIMIKO.
 
Last edited by a moderator:
Frankly speaking !!! Just to put it correct
Ok mi siyo mlevi ni mnywaji that makes it all different
You don't have to like me either hut aongeza au Kupunguza nlichonacho na nsichokuwa nacho
Handle your business lady

Tell them man, watu ni wanywaji siyo walevi. Mlevi hajitambui that is the difference btn the two. Mimi hapa niko na Castle Lager ya tano niko fresh then mtu aniambie mlevi!!! Piga vitu mkuu (but drink responsibly).
 
Tell them man, watu ni wanywaji siyo walevi. Mlevi hajitambui that is the difference btn the two. Mimi hapa niko na Castle Lager ya tano niko fresh then mtu aniambie mlevi!!! Piga vitu mkuu (but drink responsibly).
drink responsibly... I like that:A S crown-1:
 
We unakunywa nini....mi chapumu....dadiii....komoni....gongo siku hizi ndo nakunywa kirobaa
 
hahaha,,,nimejua kumbe kuna uhusiano kati ya kimombo na gambe,,,kulijua tatizo ni mwanzo wa kulitatua,,kaa na mpenz wako akushauri namna bora ya kuachana na pombe,,,as u love her naamin utamsikiliza
 
Mm nakomaa wiki 1 hadi 2 du bata za weekend sasa marafiki simu zinapigwa .lol watoto wazur mziki mzur uwiiiii najiribua
 
hyo sio kweli.
Uvivu na bajeti mbovu pamoja na kuwa na mipango isiyotimia ndio adui wa maendeleo..

Sidhan kama ukawa na ratba yako maalum namna ya kufanya mambo yako na ikifika jion walau hata kwa wiki mara mbili ukajipongeza na kapombe kako ukaamua kuteketeza hata elf 20 sijui ubaya wa pombe utatoka wapi!..

Adui wa maendeleo ni kuendekeza wanawake, kila ukiona mwanamke unataka umfunue babu hapo lazma pesa ikutoke.

Mm pombe kila j2 jion lazma nigonge hapo ndio kaz itaenda
Hii nimeipenda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom