zamani mambo ya kukutana kimwili baada ya kuoana yalikuwa kawaida, siku hiz, mtu anapagawa mpaka anakuja kutangaza, kisa eti kakataliwa tendo kabla ya ndoa!
^^
Una haki ya kuwa na wasi wasi maana matarajio ya vijana wengi ni kumjua mwenza kabla ya ndoa
..
LAKINI PIA RUDISHA MOYO
Kama una uhakika na historia ya maisha yake basi uwe na imani kuwa ni mwanamke anaejistahi na kujiheshimu. Na zaidi utamu wa unachotarajia ndio silaha yake ya kukutunza dhidi ya wenzake.
^^
Himidini ni mimi naleta ugumu kuelewa ama? Kwani "kudate" kunafika hadi huko??
like,like like
ila bila shake before use imekuwa changamoto lol.!
Inawezekana huyo mchumba wako anahisi akikupa mambo utamkimbia. Na wewe pia inaonekana huna nia nae, ina maana ukitaka kuoa mpaka u sex ndio uoe? Pia ina wezekana asiwe na bikra ila akawa kajifunza kwa yule aliyemtoa alimpa penzi akamkimbia. Sasa wewe unatakiwa kumchumguza tabia na mienendo yake pamoja na tamaa na pia usafi. Hayo ndio ya msingi.
Kutest ni muhimu sana tena ni lazima enzi za kusubir hadi ndoa zilipitwa na wakati na kama tulivoikubali dhambi ya kuzini kabla ya ndoa kwaio fanya mpango ufunue chungu bana hizo mambo za kusubir nani anataka siku hizi???
La sivyo utakuja hapa na mrejesho wa kisa kilichokitokea baada ya harusi yatakutokea makubwa na fungate uione chungu ohooo kamata fursa twenzetu
Hadi umeamua kutuletea thread hapa inamaana kuna kitu unamashaka nacho. Ukioa ukakuta ni "balloon" sijui utamlilia nani na wewe umeshaoa labda kama wewe ni "Kipedo" wanaooana asubuhi na kuachana jioni.
Tikisa kabla ya kunywa.