Wana MMU, Nahitaji Ufafanuzi Hapa.

Nimemsalimia tu!

Ila kaka sasa, sababu kubwa aliyokupa ni nini? Kimaadili zaidi au?

Is she sealed (hata ya maneno tu)?

Kama mnaoana next year..vipi hivyo vigezo vingine? Does she qualify?
Mwali njoo umuulize sex ni muhimu kwake kwa kiasi gani...

Kwa Mujibu wa huyo Binti, Hapendi hilo litokee tukiwa bado wachumba, Kuhusu vigezo ana sifa zote za kuwa Mwanamke Bora.
 
Last edited by a moderator:
Kwani mwelekeo wake au vitendo vyake vinakupa wasiwasi au haeleweki ?
Au mda gani ukonae ?
 
wana mmu,
ningependa kushare na nyinyi ishu hii ambayo kwa kiasi , inaniumuza kimawazo nina girlfriend ambaye tumekubaliana kuoana mwanzoni mwa 2014, sasa kitu kimoja ambacho hataki, hataki kudate hata siku moja akidai mpaka tuoane, hii inanipa wasiwasi sana, nikijiuliza labda ana tatizo au, na je nikisubiri mpaka huo muda ni nini atakua ananificha?
Kwenu wadau@himidini lara one heaven earth miss chagga
aiseee.
Kudate
kusex


HUYO KAMA HAJALI HISIA ZAKO HAWEZI KUWA ANA KUPENDA KWELI.
 
Last edited by a moderator:
Jifunze kusubiri. nani kakwambia kabla ya ndoa lazima kuvua boxer?
 
unashtuka nin Karucee ? Date si umetaka mwenyewe? Mwanafunzi mtiifu nakusubiri.
 
Last edited by a moderator:
Wana mmu,
Ningependa kushare na nyinyi ishu hii ambayo kwa kiasi , Inaniumuza
Kimawazo nina Girlfriend ambaye tumekubaliana Kuoana Mwanzoni mwa 2014,
Sasa kitu kimoja ambacho hataki, Hataki kudate hata siku moja akidai
mpaka tuoane, Hii inanipa wasiwasi sana, Nikijiuliza labda ana tatizo
au, Na je nikisubiri mpaka huo muda ni nini atakua ananificha?
Kwenu Wadau@Himidini lara one Heaven Earth
miss chagga

Mkuu, kwani kudate ni nini? Kama vp iweke kwa swahili
 
Last edited by a moderator:
Inaonekana dem wako anahofu kwamba kwa sababu ni used ukimtumia unaweza kumtelekeza so inabidi akaze uzi mpaka kieleweke
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom