Ladies Vs boiz :Nahitaji msamaha wanu wana {MMU}...!?

Status
Not open for further replies.

Ph-25

JF-Expert Member
Nov 19, 2012
1,159
537
Ni muda sana tangu vita vya nani ninani vianze humu ndani...

Binafsi nimetoa nyuzi nyingi sana zinazo wahusu wanawake,usafi wao,uchafu na udhaifu... Najuta kutumia lugha kali sana humu jukwaani....

Katika watu ambao nilipishana nao lugha ni wengi sana mfano mimi49 miss strong Heaven on earth Passion Lady amu Zahra White Nivea lara 1 nawengne wengi...

Nahisi ni muda sasa wa kubehave like gentleman... Sipendi kua na visasi,chuki na kinyongo na mtu humu ndani... Nimeamua kufuata busara za data watu8 The Boss na eli79 ...

Wana bodi nawaomba na nyie kama unaisi ulimkwaza mtu kwanamna moja au nyingne kupitia uzi huu mtake radhi kwa kutaja id yake pliz..

Long live Mmu.. Mungu awenanyi katika kila jema na kweli..

Nb: mods nawaomba musiuondoe uzi huu...kwani ni muda wa kuwekana sawa na kutuliza upepo huu wa kisuri suri unao tawala humu jukwaani.
 
Last edited by a moderator:
Mie nilishatoka huko siku nyingi Ph-25........

Hatuwezi kuwa na mitazamo sawa the good thing is to respect our Differences

and Reason WISELY......
 
Last edited by a moderator:
kuna wakati lugha kali inahitajika.
ila kibaya ni kushambulia personality ya mtu.
 
ha ha wewe bana humu bila kubishana,kuchambana,kupigana
ngumi,mateke,kukabana shingo hatuendi sawa.
So kuwa na amani tunapigana sredi hii sredi nyingine tunacheka.
 
Usijali Ph-25!Aisee uliniudhi sana siku ile lakini nimekusamehe bure!Cheers:tea:
Ni muhimu kwenye kadamnasi ya watu kama hivi tutumie lugha nzuri na tusikwazane!!
 
We kweli mvulana, mwanaume huwa haombi msamaha kirahisi namna hiyo! Haiwezekani! Kwani wao wametutukana mara ngapi? Unadhani jf kila mtu akija na lugha za kichungaji na kipadri itaenda? Itakuwa inaboa sasa, wengine huwa tunafurahia watu wanapobanana mpaka kwenye kona hata kutoana ngeu! Kama ni hivi basi wachaga wataongoza kwa kuombwa msamaha. Maana ni kila siku lazima ukutane na uzi unaowasema. Umeniboa kwa kweli!
 
huu ndio mfumo dume eeee
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom