Wana MMU hiki Kitabu hiki kinapatika bure!

Wana MMU hiki Kitabu hiki kinapatika bure!

Naoa @haeaven on desert kacanya kazi yake si unaona kifesi hapo
 
Ni kwa jinsia zote au ? Maana kama zote hakitakua kimesaidia😀
 
Aisee kitabu kizuri sana na hali ya hewa km hii unakaa nyumbani unajisomea! Ahahahaaa!
 
Kama ingewezekana basi hiki nacho ni miongoni mwa vitabu vya kupiga marufuku!

Muda si mrefu tutatungia cha kupora/kukaba/kubaka bila kukamatwa!!
 
Sasa Je!!Sivumi lakini nimoo

haya kaa vizuri..😛hoto:..! ngoja niipeleke kwa mganga wa diamond! hahahaaa! utakuja mwenyewe na kiupaja chako cheupeee!😛eace:😛eace:😛eace:
 
haya kaa vizuri..😛hoto:..! ngoja niipeleke kwa mganga wa diamond! hahahaaa! utakuja mwenyewe na kiupaja chako cheupeee!😛eace:😛eace:😛eace:

Bila shaka umejiumbia mtu wako mwenyewe

Mie ni Mweusi tititi,Meno tu ndo yanaonekana na macho,
so relax na huyo karumanzira wako
 
Back
Top Bottom