Wana MMU Bwana

data Unajifanya Upo Juu Kumbe Upo Chini Size Ya Sisimizi, Mwenyenacho Huwa Hapigi Sana Domo Anaona Vya Kawaida Tu, Sasa Nitoboe Siri Ya Wewe Kufeli Form Two? Na Niseme Upo Level Gani Saiv? Niruhusu Nikulete Hapa Kama Mpigamsuli

Hahahaaaaaa, msamehe bure.
 
Last edited by a moderator:
Siku hizi watu humu wamefahamiana kupitia pm jf hata hainogi. Jf ya kipindi cha nyuma bhana! Kuna watu imepita miaka miwili ndio nikajua jinsia zao!mmojawapo name Kongosho . siku hizi watu hawaposti mambo mengi ya siri sababu wamefahamiana na watu wasiojua kama ni tiss au wapelelezi wa ccm. Jf hainogi, enzi zile habari ya ikulu hata haijatangazwa humu inakuwa imeshawekwa. Magazeti habari zake zilikuwa zinatoka humu lakini siku hizi dah!
 
Last edited by a moderator:
Waaau ndo mana navibrate nikikusikia mzima mie kabisa...hapa nilipo nshajiandaa nakusubir ...njoo tukale bata

Gosh!
Nisubiri mtoto mzuri niko kwa road, leo hata foleni hakuna! Just tell me tunakwenda hoteli gani?
 
Kuna watu, kuwa na vitu vichache au vyenye thamani ndogo, kwao ndo kuwa real... Inashangaza

Unaweza kuwa real hata kama una vitu vya thamani kubwa.

Kuwa tajili halafu unajifanya maskini,nao ni ujing.a pia!!
 
Nimekukosa ni muda sasa
Heshima yako

Mimi ndio kapuku kabisa humu ndani. tule tunyumba twangu tuwili Masaki na kale kamoja pale Oysterbay visiwafanye muwe mnanicheka. Ipo siku na mimi nitanunua Boeing 787 Dreamliner kama ya Mtambuzi
 
Last edited by a moderator:
Gosh!
Nisubiri mtoto mzuri niko kwa road, leo hata foleni hakuna! Just tell me tunakwenda hoteli gani?

Aaagrrrrr
Leo ni viwanja vipya ...surprise wewe njoo waache hawa walalamike watu fake wakati mwenyewe ndo tumetengeneza mfumo huu...
 
Nitafute..

Nitakuja PM kwasababu nikiongea hapa unaweza ukahisi mimi ndiyo walewale kina Matola.

Mbwembwe nyingi, gari lake la kwanza kanunua mwezi huu.
 
Last edited by a moderator:
data Unajifanya Upo Juu Kumbe Upo Chini Size Ya Sisimizi, Mwenyenacho Huwa Hapigi Sana Domo Anaona Vya Kawaida Tu, Sasa Nitoboe Siri Ya Wewe Kufeli Form Two? Na Niseme Upo Level Gani Saiv? Niruhusu Nikulete Hapa Kama Mpigamsuli

Bas mkuu tuliza mzuka
 
Last edited by a moderator:
Aaagrrrrr
Leo ni viwanja vipya ...surprise wewe njoo waache hawa walalamike watu fake wakati mwenyewe ndo tumetengeneza mfumo huu...

Ok! Nimekaribia kufika, toka nje ya geti. so tutaongea huko huko, wacha tupunguze wachawi hapa!
 
hhehehehh hata kudrive sijui naoanaga kama mazingaumbwe
huwa najiuliza hivi mtu anaendeshaje gari??
Naamini katika kutembea tu,

ashee, umekua mkweli lasivo ningeleta hadi picha yako humu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…