Wana MMU Bwana

Kweli lkn. Hv kama mm hapa mtu ambaye hata ukikatia katia mbwa vipande vya nyama ya mwili wangu atakataa kula lkn humu MMU mm ni handsome wa kutupwa LoL!!!!!!!!!!!!!!!!!! Acheni hizo. Na kama mnjiamini mni PM hata ili tukutane sehemu tufahamiane. Nawasilisha.
 
Tangu nilivyokudanganya nina Harrier ukaja kukuta nina bajaji umeamua kuja kuweka tangazo humu... haya endelea Vaislay

imeniuma sana lakini....nakupenda hivyo hivyo labda utanunua mwakani
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…