Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,703
- 218,230
A.K.A JalalaniMbunge aliyesajiliwa dirisha dogo kama Le Profeseli

A.K.A Jalalani
Wapiga kura wa mbeya wana akili,hawaandiki UMEBANWA badala ya UMEFANYA.mbeya for sugu 2020Hizi ni kampeni za majitaka umebanwa mengi sana hapa Mbeya Kuhusu wananchi umemaliza hizi ni fitna ndogo wapigakura JF ila wapigakura tupo Mbeya
Unajua maana ya ushawishi!Kama mkitaka maendeleo mbeya nendeni na Tulia coz anaushawishi mkubwa kwenye serikali hii ya awamu ya Tano, ila kama no ushabiki basi zichangeni karata deny vintage.
Hii nimeichota sehemu...
TULIA HATOSHI, NI KIRUSI KINACHOIGAWA CCM MBEYA
Mh. Tulia Ackson kazungukwa na watu wa ovyo. Kwanza ana haraka sana. Kitendo hiki kinawakera Mbeya tofauti na yeye na watu wake wanavyodhani.
Sawa anaweza kuwa mgeni kisiasa. Lakini hawezi kuwa mgeni wa hulka za wana Mbeya. Spidi yake inachefua kuliko kuvutia.
Amepania kubeba bendera ya CCM Mbeya mjini 2020. Lakini harakati zake zinapingana na ukweli halisi. CCM tukichanga karata vibaya 2020 tutasaga meno. Hili halihitaji mnajimu wa nyota.
Anataka kura za watu anaojitenga nao. Magari na ving'ora, misafara na mapikipiki ya nini Mbeya? Watu unaotaka wakupe kura zao hutaki wakukaribie. Unawaogopa wapiga kura wako?
Tulia hatakiwi hata kupandisha vioo vya gari akiwa Mbeya. Siasa ya Mbeya ni ngumu sana kwa sababu watu wanajielewa.
Hata askari anaowatumia hawalipwi posho. Na yeye hawapozi hata na maji ya kunywa. Utasema ni kazi yao kulinda viongozi. Lakini tambua pale anataka kuwawakilisha mpaka hao polisi.
Siasa hufanya kiongozi awe mtumwa wa wapiga kura. Tulia anataka wapiga kura wawe watumwa wake. Ni ngumu kumuuza 2020.
Tunajua anataka Uspika. Lakini Mbeya ya sasa inahitaji uwakilishi wa Mbunge mwenye mashiko. CCM tusimamishe mtu anayeuzika.
La sivyo hatuwezi kupambana na Chadema ya Mbeya yenye Sugu, kwa kumtumia Tulia. Tunajidanganya wana CCM, hilo litakuwa zoezi gumu kuliko lile la 2015.
Mh.Tulia ameigawa CCM. Kuna CCM 'Team Sugu' wa kimya kimya. Anamharibia hata Mh. Rais kwa kujinasibu kuwa kamtuma. Mbeya hawapendi kuburuzwa na hawataki mtu aliyetumwa, au tumesahau ya Bruno Mpangala?
Tulia hana muunganiko (connection) na Mbeya Jiji. Hata nyumba ya kuishi kaanza kujenga hivi sasa ili kuhalalisha achagulike. Tujue kwamba Mbeya sio wajinga. Hawawezi kuacha kumchagua Sugu, kwa sababu ya mgombea anayewaza Uspika. Tutachemka.
Lazima chama kiwe na watu wanaouzika. Wenye mashiko ndani ya Mbeya. Tukiwa vichwa ngumu kwa kushupaza shingo zetu. Sugu atarudi bungeni kwa kura nyingi zaidi kuliko rekodi yake ya 2015.
Ndimi mwana CCM,
Edwin Mwakanyamale,
Forest Mbeya.
Maendeleo unayatafuta mwenyewe usitegemee kuletewa na mbunge utasubiri sanaKama mkitaka maendeleo mbeya nendeni na Tulia coz anaushawishi mkubwa kwenye serikali hii ya awamu ya Tano, ila kama no ushabiki basi zichangeni karata deny vintage.
Una maana na gani?Kama mkitaka maendeleo mbeya nendeni na Tulia coz anaushawishi mkubwa kwenye serikali hii ya awamu ya Tano, ila kama no ushabiki basi zichangeni karata deny vintage.
TULIA HATOSHI, NI KIRUSI KINACHOIGAWA CCM MBEYA
Chini ya ...... ni kweliTusubiri muda utafika Dr Tulia ndiyo mbunge Mbeya mjini
mbunge wa ikulu = mbunge wa jalalanihuyo labda awe mbunge wa ikulu maisha yake yote ila kwenye sanduku la kura hapiti.
Kama mkitaka maendeleo mbeya nendeni na Tulia coz anaushawishi mkubwa kwenye serikali hii ya awamu ya Tano, ila kama no ushabiki basi zichangeni karata deny vintage.
[/QUOTE
Kumbe maendeleo sio haki ya wananchi, bali ni kwa upendeleo wenye ushawishi
Ukabila wa nini sasaWewe msukuma unawasemea wanyaqiusa.
Mtoto akililia wembe mpeHuyu mama haijui Mbeya vizuri anataka kuaibika bure!! Namshauri walau aende Kigamboni kule anaweza kutoka mlisi.
Betina hafai hata kidogo.Hii nimeichota sehemu...