Uchaguzi 2020 Wana Mbeya Tumekukataa Mh. Tulia

Hii nimeichota sehemu...

TULIA HATOSHI, NI KIRUSI KINACHOIGAWA CCM MBEYA

Mh. Tulia Ackson kazungukwa na watu wa ovyo. Kwanza ana haraka sana. Kitendo hiki kinawakera Mbeya tofauti na yeye na watu wake wanavyodhani.

Sawa anaweza kuwa mgeni kisiasa. Lakini hawezi kuwa mgeni wa hulka za wana Mbeya. Spidi yake inachefua kuliko kuvutia.

Amepania kubeba bendera ya CCM Mbeya mjini 2020. Lakini harakati zake zinapingana na ukweli halisi. CCM tukichanga karata vibaya 2020 tutasaga meno. Hili halihitaji mnajimu wa nyota.

Anataka kura za watu anaojitenga nao. Magari na ving'ora, misafara na mapikipiki ya nini Mbeya? Watu unaotaka wakupe kura zao hutaki wakukaribie. Unawaogopa wapiga kura wako?

Tulia hatakiwi hata kupandisha vioo vya gari akiwa Mbeya. Siasa ya Mbeya ni ngumu sana kwa sababu watu wanajielewa.

Hata askari anaowatumia hawalipwi posho. Na yeye hawapozi hata na maji ya kunywa. Utasema ni kazi yao kulinda viongozi. Lakini tambua pale anataka kuwawakilisha mpaka hao polisi.

Siasa hufanya kiongozi awe mtumwa wa wapiga kura. Tulia anataka wapiga kura wawe watumwa wake. Ni ngumu kumuuza 2020.

Tunajua anataka Uspika. Lakini Mbeya ya sasa inahitaji uwakilishi wa Mbunge mwenye mashiko. CCM tusimamishe mtu anayeuzika.

La sivyo hatuwezi kupambana na Chadema ya Mbeya yenye Sugu, kwa kumtumia Tulia. Tunajidanganya wana CCM, hilo litakuwa zoezi gumu kuliko lile la 2015.

Mh.Tulia ameigawa CCM. Kuna CCM 'Team Sugu' wa kimya kimya. Anamharibia hata Mh. Rais kwa kujinasibu kuwa kamtuma. Mbeya hawapendi kuburuzwa na hawataki mtu aliyetumwa, au tumesahau ya Bruno Mpangala?

Tulia hana muunganiko (connection) na Mbeya Jiji. Hata nyumba ya kuishi kaanza kujenga hivi sasa ili kuhalalisha achagulike. Tujue kwamba Mbeya sio wajinga. Hawawezi kuacha kumchagua Sugu, kwa sababu ya mgombea anayewaza Uspika. Tutachemka.

Lazima chama kiwe na watu wanaouzika. Wenye mashiko ndani ya Mbeya. Tukiwa vichwa ngumu kwa kushupaza shingo zetu. Sugu atarudi bungeni kwa kura nyingi zaidi kuliko rekodi yake ya 2015.

Ndimi mwana CCM,
Edwin Mwakanyamale,
Forest Mbeya.

Kama kuna Mkoa ambao nautabiria mapema sana kuwa ama kuanzia Uchaguzi wa mwaka huu wa Serikali za Mitaa au ule Uchaguzi Mkuu wa Mwakani kuwa kutamwagika Damu nyingi na kutatokea Uhasama, Uadui na Uharibifu mkubwa kama hatua za Kiumakini kabisa hazijaanza Kuchukuliwa sasa basi ni Mkoa wa Mbeya na hasa kwa Jimbo la Mbeya Mjini na mengineyo Mawili.
 
Kama mkitaka maendeleo mbeya nendeni na Tulia coz anaushawishi mkubwa kwenye serikali hii ya awamu ya Tano, ila kama no ushabiki basi zichangeni karata deny vintage.
Maendeleo hayana chama, si lazima awe Tulia ndo Mbeya ipate maendeleo, yeye aridhike tu na wadhifa alio nao kwa sasa.
 
Hii nimeichota sehemu...

TULIA HATOSHI, NI KIRUSI KINACHOIGAWA CCM MBEYA

Mh. Tulia Ackson kazungukwa na watu wa ovyo. Kwanza ana haraka sana. Kitendo hiki kinawakera Mbeya tofauti na yeye na watu wake wanavyodhani.

Sawa anaweza kuwa mgeni kisiasa. Lakini hawezi kuwa mgeni wa hulka za wana Mbeya. Spidi yake inachefua kuliko kuvutia.

Amepania kubeba bendera ya CCM Mbeya mjini 2020. Lakini harakati zake zinapingana na ukweli halisi. CCM tukichanga karata vibaya 2020 tutasaga meno. Hili halihitaji mnajimu wa nyota.

Anataka kura za watu anaojitenga nao. Magari na ving'ora, misafara na mapikipiki ya nini Mbeya? Watu unaotaka wakupe kura zao hutaki wakukaribie. Unawaogopa wapiga kura wako?

Tulia hatakiwi hata kupandisha vioo vya gari akiwa Mbeya. Siasa ya Mbeya ni ngumu sana kwa sababu watu wanajielewa.

Hata askari anaowatumia hawalipwi posho. Na yeye hawapozi hata na maji ya kunywa. Utasema ni kazi yao kulinda viongozi. Lakini tambua pale anataka kuwawakilisha mpaka hao polisi.

Siasa hufanya kiongozi awe mtumwa wa wapiga kura. Tulia anataka wapiga kura wawe watumwa wake. Ni ngumu kumuuza 2020.

Tunajua anataka Uspika. Lakini Mbeya ya sasa inahitaji uwakilishi wa Mbunge mwenye mashiko. CCM tusimamishe mtu anayeuzika.

La sivyo hatuwezi kupambana na Chadema ya Mbeya yenye Sugu, kwa kumtumia Tulia. Tunajidanganya wana CCM, hilo litakuwa zoezi gumu kuliko lile la 2015.

Mh.Tulia ameigawa CCM. Kuna CCM 'Team Sugu' wa kimya kimya. Anamharibia hata Mh. Rais kwa kujinasibu kuwa kamtuma. Mbeya hawapendi kuburuzwa na hawataki mtu aliyetumwa, au tumesahau ya Bruno Mpangala?

Tulia hana muunganiko (connection) na Mbeya Jiji. Hata nyumba ya kuishi kaanza kujenga hivi sasa ili kuhalalisha achagulike. Tujue kwamba Mbeya sio wajinga. Hawawezi kuacha kumchagua Sugu, kwa sababu ya mgombea anayewaza Uspika. Tutachemka.

Lazima chama kiwe na watu wanaouzika. Wenye mashiko ndani ya Mbeya. Tukiwa vichwa ngumu kwa kushupaza shingo zetu. Sugu atarudi bungeni kwa kura nyingi zaidi kuliko rekodi yake ya 2015.

Ndimi mwana CCM,
Edwin Mwakanyamale,
Forest Mbeya.
Suria
 
mm nakapenda kamama kale, kanajitolea sana hata kama kanataka kugombea mm naweza kukapa kalete maendeleo hata kwa mlango wa nyuma tu
 
Kama mkitaka maendeleo mbeya nendeni na Tulia coz anaushawishi mkubwa kwenye serikali hii ya awamu ya Tano, ila kama no ushabiki basi zichangeni karata deny vintage.
Kwani maendeleo yaliyopo mbeya kayaleta yeye? na nani wa kulaumiwa endapo mbeya haina maendeleo miaka 55 ya uhuru? mbona wajikaanga mwenyewe kwa hoja nyepesi? you can fool people at once but not all the time.
 
Kifo kimepewa siri kwa binadamu ingekuwa kifo kinajulikana kila mtu angejiandaa. Sugu naye angekuwa anajua kuwa hashindi uchaguzi mwakani angeanza mikakati mingine nje ya ubunge. Sioni na simpi sugu ktk hesabu za probability simpi ht 0.5 ya kushinda dhidi ya Tulia
Kelele zote hizi ni za ccm kutumia kivuli cha Sugu tunajua Timu naibu waziri. Timu mc na timu mdau wa maendeleo hawa wote wako ccm ndiyo wanaopambana na Dr Tulia na silaha iliyobaki ni kulalamika kishawashinda wote hao
Nje ya ccm Dr Tulia hana mshindani sugu hawezi jamani sisi tupo huku
 
Back
Top Bottom