jax fikrini
Member
- Nov 8, 2012
- 46
- 6
vpaji sio tu kwenye bongo fleva,soccer,siasa n.k,hata kwenye social network kama hizi au vp fungukeni bac..!
Leka tutigite!!!
Acha hizo wewe, humu jamvini watu hawaingii kwa mikoa yao, hapa ni upembuzi yakinifu tu!
Nakukundashani na ulakoze.
Wanakaribiana hao tofauti zao ni ndogo mno.
kwanza weka jina lako la kweli kwenye hadhira