Wana Kigoma embu jengeni kwenu

Wana Kigoma embu jengeni kwenu

Mleta mada hajitambui na ni miongoni mwa watanzania wengi ambao akili zao zimekaa kitumwatumwa.
Miaka michache iliyopita mtwara na lindi ilikuwa ni mikoa ya ajabu. Kuna kipindi ilikuwa kutoka dar mpaka mtwara si chini ya siku mbili.lakini sasa hivi ni mkoa ambao unakuja juu kwa kasi na hii yote ni kutokana na serikali kupafungua kwa barabara.
Ukisema kigoma haiendelei kwa sabab ya uchawi.
Jiulize kwanza zaid ya barabara ambayo ndo inakalibia kamilishwa sasa hivi kulikuwa na njia nyingine ya kutoka kigoma?
Je mfuko cement moshi sasa hivi unauzwa si zaid ya 11000 je una habari kigoma ni zaid ya 22000?
Je kuna umeme wa kutosha?
Je idadi ya shule za serikali zilizopo moshi mpaka mwaka jana zinaendana na moshi au arusha?
Je huko arusha au moshi ishatokea mkakutana na kero ya wakimbizi? Mfano mzuri miaka ya 2006 kakonko hasa kasanda iliwahi fikia hatua majambazi wakivamia kwa jirani kesho unajua waje kwenu je moshi ujambazi wa hivo ushawahi tokea?
Je unajua kigoma iko kwenye ukanda wa tetemeko la ardhi kuna limitation ya ujenz.
Je bandar na reli ambazo zilikuwa ndo kama tegemeo zinafanya kazi kwa ufanisi.
Kuhusu ubishi wa waha eti ndo kigezo cha kukosa maendeleo. Hivi unajua almost ya unga wa sembe unaokula dar sasa hivi most of them ni waha. Je unajua almost ya viwanda vidogovidogo vinavyoanzishwa sasa hivi wengi wao ni hao unaosema ni wabishi?
Am proud to be a muha maana huwa hatuna akili za kitumwatumwa. Huwa nafikiria kama kwa muda wa miaka 50 hatuweza walau hata kuwekewa mazingira ya kunyanyuka kiuchumi lakin je tungewekewa walau hata miundombinu kama ya huko moshi tungekuwa wapi? Kumbuka 90"s kutoka dar mpaka nairobi ilikuwa ni mwendo wa masaa kumi na mbili na zaidi km900 lakin kutoka tabora mpaka kigoma kwa treni ilikuwa ni masaa kumi mpaka kumi na mbili na hakuna km 600 kwa bus kupitia nyakanazi siku mbili
unajitetea uongo kigoma mpo nyuma sana jitahidini muinue mkoa wenu
 
kuna vitu vya kulaumu serikali na vingine sio
mfano kigoma imechakaa kimakaz vijumba vingi vya zaman na za nyasi nyingi,je hapo unataka serikali ije iwajengee?
Mi nadhani kigoma ni mji mkongwe,kwahiyo maeneo kama ujiji na mwanga kuna nyumba za zamani kwahiyo lazima zichakae sana,

Lakini maeneo kama kilima hewa na mji mwema na burega, kuna nyumba za kisasa kabisa.
 
1.ubishi
2.uchawi
3.kupenda kesi
4.sio wakarimu
5.wanawake sio wasafi kiviiileee
6.kusingizia mimba
7.kushangaa wageni
8. Vyoo kama vibanda vya kuku (vidogo sana)
9.radi kubwa zenye madhara
10.ujuaji
kama kuna muha anabisha aje
 
  • Thanks
Reactions: 365
IMG_20171217_141451_823.jpg
 
ile nymbo yao ya kigoma All star inavyoupamba mkoa wao nikajua baab kubwaa,,,kumbe bora akina chindo man na song lao la Arusha kuliko wao.
 
1.ubishi
2.uchawi
3.kupenda kesi
4.sio wakarimu
5.wanawake sio wasafi kiviiileee
6.kusingizia mimba
7.kushangaa wageni
8. Vyoo kama vibanda vya kuku (vidogo sana)
9.radi kubwa zenye madhara
10.ujuaji
kama kuna muha anabisha aje
Ubishi sawa,ila vilivyobaki ni vya kila mtu,

Ubishi wa waha sijui unatoka wapi
 
Mkuu mimi pia ni mzaliwa wa kanda hiyo. Our challenges are almost similar. Lets take it as a challenge. Nimeishi Kibondo, Kasulu, Ujiji nk. Kigoma bado iko nyuma hilo halipingiki. Tena nyuma sana! You can only understand kama umeshaliishi lile vumbi la Kibondo! Kikubwa tuzichukulie hizi kama Changamoto za mda. Sometimes nakuwa disappointed kwa sababu katika mikoa yetu ya kanda ya ziwa ni wahaya ambao waliweka utaratibu wa kujenga makwao toka zamani. Leo ukienda Kigoma kuna watu nawafahamu ni engineers, lawyers nk..tunakunywa nao bia mjini Lakini ukienda makwao huko ni fedheha! Siyo Kigoma tuu..njoo Ngara, bihalamlo, Chato nk. Wote tuna Changamoto zile zile. Bado ambao wamesonga mbele hawarudi nyuma kuwakwamua wa kwao!

Kipi kifanyike? Kwanza wananchi wa haya maeneo tuamke. Tutambue kwamba kuendeleza haya maeneo ni jukumu letu. Pili, Serikali iendeleze juhudi za miundombinu. Kama ile barabara ya Nyakanazi kwenda Kigoma ikikamilika nina hakika kabisa itabadilisha Kigoma. Na ile barabara ya Tabora-Kigoma ikiwekwa lami tutaongea mengine.

Ingawa miundombinu ni hafifu Lakini bado hata wana-Kigoma wenyewe hawajakamata fursa zilizopo kisawasawa. Mfano last time nilitoka Kabanga-Ngara nikaenda Bujumbura nikatokea Kigoma. Ule ukanda una fursa nyingi sana. Lakini ndo hivyo bado tunalia njaa na umasikini.

In all, lazima tukubali kwamba baadhi ya maeneo yetu yako nyuma na ni jukumu letu sisi wananchi kupambana na kuhakikisha tunajikwamua. Maana na hiyo serikali yenyewe tunayoitegemea inaongozwa na watu ambao nao wana vipaumbele na njaa zao.

Lakini as a matter of fact, kama mtu ambaye nimeishi na kufanya kazi Kigoma, Kiukweli wana-Kigoma can and should do better! Tunaweza kuweka visingizio maelfu mwisho wa siku ukweli unabaki pale pale. Tunahitaji kuamka.

Hata Kahama, Katoro, Lunzewe nk..miji inayochipukia....ni juhudi za watu. Juzi kati vilikuwa ni vijiji...leo tunaongea mengine.
Kaka mimi sijakataaa kuhusu hiyo mentality ila nilichokuwa nakemea ni ile tabia ya kusema

Kwa ujumla sijakataa kigoma tunatakiwa tujenge wenyewe. Ishu sio kujenga tu,hivi unaanzaje kumjengea mzazi sehemu ambayo akiugua leo kuja kupata huduma mpka utumie almost siku nne. Kinachosababisha wasijenge sio mentality tu bali unaona bora umchukue mzazi uishi nae, na wengi wamefanya hivo.. Mimi ni mwenyeji wa kasanda miaka ya 2006 kulikuwa na wimbi la ujambazi kiasi kwamba hata ukiuza mbuzi wawili jion unajua kabisa unavamiwa. Mimi ni miongoni mwa tuliokumbwa na dhahama hiyo. Sio mara moja.
Kuhusu kujenga kaka. Sio kwamba watu hawataki kujenga ila gharama ya ujenzi. Nina watu wengi nao wajua ambao wanaviwanja na magofu kibao ila wamekwama kujenga.
Mentality ya waha ni wachumi bila gain naamini hawawez jenga. Kigoma kuna fursa nyingi sana ila kinachokwamisha ni upande wa serikali.
 
Umeongea vizuri sana. Na hilo ndio lengo yani wananchi wenyewe waanze kujenga kwao then maendeleo yatakuja automatically
Unaijua gharama ya ujenzi kigoma.ukilinganisha na bukoba.bk kulikuwa na access ya walau ya mwanza kwa meli wakati kigoma hiyo cement ilikuwa kufika kigoma ni mara tatu ya bei ya mwanza. Pia wahaya walikuwa shule nyingi sana miaka ya mwanzoni wakati kigoma ilikuwa adimu kwa hiyo hata elimu ilichangia kutojitambua mapema.
 
kgm nyumba za nyasi n nyingi kuliko bati sasa utawekeza kitu gan?
Je kama mzunguko wa kupata pesa haupo unategemea huyo mwenye nyumba atapata wapi pesa ya kuweka bati. Nikuulize swali moja tu unaijua bei ya bati kigoma sasa hivi ukilinganisha na bukoba?
 
hizo n sababu finyu
ubishi n asili yenu msipoacha mtaendelea hivyohivyo kuongoza kitaifa kwa umaskini
kuhusu bei ya bati n lazma iwe juu kigoma kwasababu n mbali na kiwandani usafiri n gharama
 
unajitetea uongo kigoma mpo nyuma sana jitahidini muinue mkoa wenu
Ok kama najitetea uongo niambie mji wowote dunia ulioendelea pasipokuwa na miundo mbinu ya uhakika? Kuhusu ubishi ndugu yangu wazaramo ni wabishi?nitajie wazaramo ambao unawajua wewe wenye maendeleo y kujulikana
 
kuna vitu vya kuilaumu serikali na vingine sio
hivi kweli hTa nyumba za nyasi unailaumu serkl?
kigoma sehemu nyingi ukianza kufanya maendeleo unarogwa mm nilikuwa buhigwe wenyeji nilifanya utafiti wakaniambia yote nilikuwa kule kwa miez 5 imani za kishirikina ndio chanzo cha umaskini wenu
pia ujinga
sehemu zenye maendeleo hakuna wajinga wajinga
 
hizo n sababu finyu
ubishi n asili yenu msipoacha mtaendelea hivyohivyo kuongoza kitaifa kwa umaskini
kuhusu bei ya bati n lazma iwe juu kigoma kwasababu n mbali na kiwandani usafiri n gharama
Jifunze kujisomea ndugu pasipokuropoka tu. Nitajie stimulant za Kiuchumi ambazo zitasababisha watu wapate pesa kigoma. Mimi nakutajia baadhi vilivyokuwa vinaudumaza mkoa.
1)hakuna umeme wa uhakika kigoma na uliopo ni wajenereta hautoshi hata kusukuma kiwanda cha kati za kusindika mazao.
2)hakukuwa na barabara ya kuanganisha na mikoa mingine iliyokuwepo ni vumbi na ilikuwa ya kuzunguka kahama. Mara kadhaa wakulima wameshindwa kusafirisha mazao yao kutokana na gharama kubwa.
3) uwepo wa vurugu nchi za jirani kumechochea kuwepo na wimbi la ujambazi mkubwa sana kigoma. Nani atajenga vizuri kusudi awe mteja wa majambazi? Wewe unazungumza kwa sababu mmekulia sehemu tulivu hata mlio wa risasi hamuujui. Ni kigoma ambako kulikuwa na vikundi vya ujambazi vya utekaji huku moshi mtu alikuwa na uwezo wa kuuza mazao na kulala na milion zake ndani.
Kama ubish ndo kigezo cha kutofanikiwa basi nilitarajia kusiwepo hata waha waliofanikiwa hata kidogo. Nilitarajia kutokana na ubishi wao wangekuwa ndo wanaongoza kwa kukaa kwenye vimigahawa vya kahawa.
 
angalau umejitahidi kujieleza
lakin kwan hakuna alternative nyengine muinue mkoa wenu kiichumi?,kwann wabunge wenu tangu miaka nenda rudi hawakujitajid kuishinikiza serikl iweke hiyo miundombnu?
 
Jifunze kujisomea ndugu pasipokuropoka tu. Nitajie stimulant za Kiuchumi ambazo zitasababisha watu wapate pesa kigoma. Mimi nakutajia baadhi vilivyokuwa vinaudumaza mkoa.
1)hakuna umeme wa uhakika kigoma na uliopo ni wajenereta hautoshi hata kusukuma kiwanda cha kati za kusindika mazao.
2)hakukuwa na barabara ya kuanganisha na mikoa mingine iliyokuwepo ni vumbi na ilikuwa ya kuzunguka kahama. Mara kadhaa wakulima wameshindwa kusafirisha mazao yao kutokana na gharama kubwa.
3) uwepo wa vurugu nchi za jirani kumechochea kuwepo na wimbi la ujambazi mkubwa sana kigoma. Nani atajenga vizuri kusudi awe mteja wa majambazi? Wewe unazungumza kwa sababu mmekulia sehemu tulivu hata mlio wa risasi hamuujui. Ni kigoma ambako kulikuwa na vikundi vya ujambazi vya utekaji huku moshi mtu alikuwa na uwezo wa kuuza mazao na kulala na milion zake ndani.
Kama ubish ndo kigezo cha kutofanikiwa basi nilitarajia kusiwepo hata waha waliofanikiwa hata kidogo. Nilitarajia kutokana na ubishi wao wangekuwa ndo wanaongoza kwa kukaa kwenye vimigahawa vya kahawa.
lakin pmj na kujieleza hapa umesahau kitu kikuu
ushirikina pia umechangia pkbwa kudumaza huo mkoa
nilikuwa buhigw nikahoji vijana kadhaa wakanambia ukijidai unafanya maendeleo unarogwa sasa hapo huoni inarudsha nyuma maendeleo?
 
sio kila kitu n kuilaumu serikali
asili ya mkoa huo n uchawi wa kijinga
kule ukifanya maendeleo unalogwa je serikali inahusikaje?acheni uzwazwa
Nawe unahisi kuna mkoa au sehemu imekuwa au kupata kimaendeleo bila baraka ya serikali!???hakuna
 
Back
Top Bottom