mtongwe
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 1,659
- 4,484
Kuna hali ya maisha au utamaduni Kuwa na nyumba za nyasi,unapokwenda umasaini na kukuta zile tembe nako ni saluki ya urozi na umaskini.......!!!!!!kuna maendeleo ya kuletwa na serikali lakin kuna mengine n ya watu wenyewe mfano
kigoma vijumba vingi n nyasi je serkl ije iwajengee za bati?
