Wana JF

Michelle usikate tamaa..........am shua atakapogundua kuwa siku hizi weupe wa nachero hakuna atatukonsida na sie........
Mi nabaki bana (as long as hajasema hataki alofika menopozi... am still kwalifayingi bana)

mmmmhhhhh shida za kununua hizo my dear....ndo yale mkigombana unasikia....sijui nilitoka wapi na hili lizee(libibi)....mi naweza kata hiyo naniii yake so bora tu nikimbie.....siyawezi.....:hand::hand:
 
Aksante kwa kunirekebisha kiutuuzima haha

Haya Gerald keshataja sifa za amtakaye.....hebu ngoja kwanza Sipiyuu tuendelee kumisiana kwanza ngoja nikacheck sifa nione kama nami naweza kuwa contestant.....................loh

Sasa wewe huyo serengeti boi atakupeleka wapi?? Hata kunywa soda mwenyewe hawezi, biskuti anaona ngumu kuimega
 
Nami pia nashukuru kwa mawazo yako
karibu sana Gerald....ni wajibu wangu.....

Ila nakuitaji kwa huu msaada wewe umeonyesha nia nzuri ya kunisaidia wangu
sina uwezo wa kukusaidia zaidi Gerald....hapa hapa utampata.....nakushauri edit pale juu kwa thread then weka hivyo vigezo mtu akifungua tu avione.......:hand::hand:
 
huja2lia wewe kwel bint anatafutwa kwa namna hii? Ops labda nimesahau kukuuliza alikimbia mabomo kule gongo la mboto au amepote kwny maandamano ya chadema kule arusha?

Unaleta utani kwani GM imekua ni story ya matani wakati ni janga la taifa? embu tafuta kauli nyingine + hayo ni mawazo yako yanakubalika pia
 
karibu sana Gerald....ni wajibu wangu.....


sina uwezo wa kukusaidia zaidi Gerald....hapa hapa utampata.....nakushauri edit pale juu kwa thread then weka hivyo vigezo mtu akifungua tu avione.......:hand::hand:

Aaaaah Mbona unakwepa tena
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom