Wana JF

Bado hajaelewa somo, cheki anavyoongea mwenyewe hapo chini, bora angekuwa ana simu sikioni tungejua anaongea na sim

yaani,sijui nimsaidieje?

Gerald umeelewa nilichokushauri au nirudie tena???:A S 13:
 
Natafuta binti plse msaada kwenu
Ana umri gani? wajihi wake ukoje? je ni mmoja wa wahanga wa GM Blasts?

Jamani kama kuna yeyote anayemtunza mtoto yeyote kati ya wale waliokimbia mabomu (hata kama si wa Kaka Gerald) tumia nafasi hii kutangaza. Tusaidiane katika kuunganisha familia hizi zilizokumbwa na janga hili. Ni sehemu ya Mapendo
 
poa poa,naona hana nia na mimi.....poa tuishie zetu,Shosti umri unaruhusu nafikiri wataelewana tu......l.o.l

Nina nia na wewe hata kusaidia unaweza je wachangiaji mbona wanapotosha mada?
 
Ana umri gani? wajihi wake ukoje? je ni mmoja wa wahanga wa GM Blasts?

Jamani kama kuna yeyote anayemtunza mtoto yeyote kati ya wale waliokimbia mabomu (hata kama si wa Kaka Gerald) tumia nafasi hii kutangaza. Tusaidiane katika kuunganisha familia hizi zilizokumbwa na janga hili. Ni sehemu ya Mapendo

Du! hii kali
 
Nimekumiss
 
Haya bana Lete mada so, unanisaidiaje hapo

sina namna ya kukusaidia....kwetu niko msichana pekee na rafiki zangu wawili kati ya watatu nilio nao wameolewa...huyo mmoja ni mtawa...nitakuombea upate msichana kabla sijalala....ndo msaada wangu huo......:hand:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom